Kama nisingekuwepo,na nafasi yangu isingekuwepoQUALIFIE said:Wakuu habari
Kuna maswali huwa sipati majibu nikayaona ni sahihi naomba tushilikiane kupata majibu tafadhali
1. Kama usingekuepo wewe nafasi yako ingechukuliwa na nani? Kama isingechukuliwa mambo ambayo umeyafanya yasingefanyika?
Hili swali ni 'self defeating',lina jipinga lenyewe2.Kama usingekuepo ungekua wapi?
Hali ya 'kutokuwepo',ni sawa na kipindi ulichopitia kabla hujazaliwaNa huko ambako ungekua ungekua ukijisikia kama unavyojisikia sasa?
Huko 'kutokuwepo' ndio logic hapo mkuu.Kama nisingekuwepo,na nafasi yangu isingekuwepo
Na kama nafasi yangu isingekuwepo,basi isingechukuliwa na mtu yoyote kwasababu haipo
Hili swali ni 'self defeating',lina jipinga lenyewe
Kama nisingekuwepo,nisingekuwa popote
Hali ya 'kutokuwepo',ni sawa na kipindi ulichopitia kabla hujazaliwa
Kwani ww,kabla hujazaliwa ulikuwa unajisikiaje?
Swali lako la msingi ni lipi?Huko 'kutokuwepo' ndio logic hapo mkuu.
Kusema usingekuepo basi usingekua popote that's so mean
Unafikili haya maswali hayana majibu? Ama wewe ndio hauna majibu