Kuyaona mawazo yetu kama 'Kelele' ni kutudharau Watanzania

Kelele kelele eeeehh tulieni dawa izame kwenye trakoma πŸ˜‚ mama anaupiga mwingi hivi bado tunasema hii kauli.
 
N Nchi yenye mtindio wa ubongo..Mzee Kenyata kauli yake ilikua na maana ,kwamba muhasisi anaongoza maiti
 
Hapo ndipo nilipochoka. Yaani wananchi kupinga unyonyaji yeye anaita kelele!!?
Kuna msemo wa wahenga unasema masikini akipata,mat..o hulia mbwata.
 
Yaani Mwanamke kabisa anatuambia Wanamume wa Kikurya, Kizanaki,Kijita na Kijaluo kutoka Mkoani Mara kuwa tuna 'Kelele' Kwake? Hivi Bi Mkubwa hapa alipitiwa tu au alidhamiria?
Tata mraaah sijui anawachukuliaje?

Everyday is Saturday............................ 😎
 
Nakufahamu kwa muda mrefu humu jukwaani, najua aina yako ya uandishi, imekaa kimasihara sihara but unafikisha UJUMBE, twende mbele na diskasheni kaka
 
Kuna Mwandamizi Mmoja kutoka Zanzibar na ambaye kafanya nae Kazi Serikalini na mpaka katika Bunge la Katiba alikuwa nae aliniambia kuwa 'Mama' ana 'Dharau' sana na maneno ya 'Karaha' nikamkatalia ila sasa nayashuhudia Mwenyewe ' mubashara' kabisa.
Yupo kama yezebeli mke wa ahabu
 
Hili ndio neno. Na huo ndio uanaume. Kama wewe ni wa mara bila kuingia barabarani. Humu unapiga kelele tu. Mwisho ataambiwa hamia burundi kwa kelele zako
Au ataambiwa na yeye aende kitunda akauuze mayai kwenye Baiskeli Kama wa Wakulya wenzie huko kitunda!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…