kuza biashara yako sasa kwa njia rahisi kupitia teknolojia

rilprogrammer

Member
Joined
Jun 5, 2011
Posts
94
Reaction score
19
Moja ya changamoto ya biashara ni uwezo wa kutunza kumbu kumbu sahihi za mauzo na manunuzi ya bidhaa pamoja na uwezo wa kujua mauzo ya siku,mwezi na historia nzima ya tangu uanzishe biashara yako mpaka sasa.Kwa kutumia teknolojia,rahisisha kazi zote hizi kwa kujipatia Software iitwayo StockPoint,ni software ambayo imetengenezwa katika mtindo mwepesi kwa mtumiaji ila kwa umakini sana kuwezesha kurahisisha utunzaji wa kumbukumbu muhimu za biashara yako.
Kwa maelezo zaidi pia na kuonyeshwa utendaji wake wasiliana nasi kupitia namba hii 0766 091869.

---kuza biashara yako sasa kwa kutumia teknolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…