E Eng.Bil New Member Joined Dec 31, 2012 Posts 3 Reaction score 3 Sep 3, 2015 #1 habar wanaJF kwa yeyote mwenye uzoefu juu ya soko la hisa please share kwa mfano nataka kununua hisa kwenye kampuni flani, ntapaje faida? na je kampuni ikifilisika haki yangu ikoje?
habar wanaJF kwa yeyote mwenye uzoefu juu ya soko la hisa please share kwa mfano nataka kununua hisa kwenye kampuni flani, ntapaje faida? na je kampuni ikifilisika haki yangu ikoje?