Pretty/Lizzy...kuna ukweli kwenye msemalo..lakini dunia ya sasa si kama ya miaka 20 iliyopita! Zamani wazazi wetu serikalini ilikuwa ni lazima wastaafu wakifika umri flani. Sasa hivi wazazi wengi ni either wafanyabiashara au wafanyakazi wa sekta binafsi. Na ukiwa na proffesion yako ya maana basi unaweza ukawa unafanya kazi on a contract basis mpaka hapoooo...Muhimu ni kumuandalia huyo mtoto maisha bora. Fikiria mtoto anayezaliwa na baba wa miaka 30 na huyo baba kufariki baada ya miaka 2 ili hali alikuwa hajamtayarishia mtoto kitu chochote!! Ni balaa kubwa zaidi ya yule mwenye baba wa miaka 50 lakini kamuandalia maisha bora
Kuwa na baba ambae hata hawezi cheza mpira na mtoto wake is soooooo not fun. Binafsi nadhani ni vizuri watu wakajitahidi kupata watoto wakati bado wana nguvu za kutosha, uzee ukija wanapumzika.
Nyie ndo munaharibu future za watoto wenu. Wewe kama Baba au Mama unatakiwa kumtunza mwanao kwa kumpatia uwezo wa kuishi pekee yake bila shida.Kila mtoto anakuja na riziki yake dada, wala usiumize kichwa.
Mipango ya Mungu hiyo, umesahau jinsi Yohana Mbatizaji alivyozaliwa ilhali wazazi wake waliishajizeekea na kukata tamaa....Pitia pitia bible dia!
na mwanamke kucheza rede au mdakoKuwa na baba ambae hata hawezi cheza mpira na mtoto wake
Umri siyo hoja sana, swala kubwa hapa ni future ya mtoto. Unaweza ukamzaa katika umri mkubwa ila ukawa umemwandalia mazigira mazuri ya maisha yake ya baadaye.Kila mtoto anakuja na riziki yake dada, wala usiumize kichwa.
Mipango ya Mungu hiyo, umesahau jinsi Yohana Mbatizaji alivyozaliwa ilhali wazazi wake waliishajizeekea na kukata tamaa....Pitia pitia bible dia!
Pretty, kuzaa mtoto katika umri huo ni sawa tu kama ulivyosema mtoto wa kwanza.....kuna mengi katika hili. Pengine ilikuwa vigumu kupata mtoto wakati wa usichana wake, hakuweza kubahatika kupata mwenza mapema etc.