Naomba kujua hasara zake wakuu
Faida yake unakuwa 'ka form two' maisha yote...nashukuru sana.nilijua upasuaji ni rahic kumbe nayo ina maumivu
Upasuaji ni mzuri sana asikudanganye mtu.mtoto anakuwa salama na mwisho wa siku anakuwa na akili sana maana hapati shida ya kubanwa kichwa wakati wa kujifungua.Hivyo mtoto anatoka safi.pia risk yamaambukizo ya maradhi inakuwa kidogo sana.
Mwambia Dr wako akupasue kwa chini ili mshono usionekane.

Mie bwana nilitaka sana kawaida. Ila Mungu alitaka nifanyiwe CS. At first I was depressed ila sasa hivi nimekubali. Nilifanyiwa bikini cut na sasa hivi, 5 months down the line nimebaki na tu dots tu.
Of course kuna downside yake but I am happy to be alive and my baby is well.
Naomba kujua hasara zake wakuu
nashukuru sana.nilijua upasuaji ni rahic kumbe nayo ina maumivu
ulishawahi kufanyiwa? au kumuuguza mwenye operation?
Upasuaji ni mzuri sana asikudanganye mtu.mtoto anakuwa salama na mwisho wa siku anakuwa na akili sana maana hapati shida ya kubanwa kichwa wakati wa kujifungua.Hivyo mtoto anatoka safi.pia risk yamaambukizo ya maradhi inakuwa kidogo sana.
Mwambia Dr wako akupasue kwa chini ili mshono usionekane.
tafiti zipo tena nyingi tu.ukiweza fanya na wewe kwa watoto waliozaliwa kwa kisu.hapo nilipobold, mkuu una hakika ama kuna tafiti zinaonyesha hivyo?
tafiti zipo tena nyingi tu.ukiweza fanya na wewe kwa watoto waliozaliwa kwa kisu.