Hamna lolote, wameshaathiriwa na mchezo mchafu wa kufanya mapenzi kinyume na maumbile hivyo wanaona wakizaa kwa njia ya kawaida wataumbuka.
du, kupasuliwa kitu cha kuogopa kumbe kuna watu wengine wanapenda, kweli dunia hadaa
Clap... clap.... clap.... I wish there was one person to educate you more!!!
du, kupasuliwa kitu cha kuogopa kumbe kuna watu wengine wanapenda, kweli dunia hadaa
I wish for you to be the one to educate me more where i'm wrong....
SIo hivyo ndugu yangu!!! It takes two to tangle and any education humu duniani inadepend sana na attitude ya wote wawili, mfundishaji na mfundishwaji....
BAsed on the two, i may not be the best person to do so.
Mkuu nayaheshimu mawazo yako. Ila kwa uelewa wangu kuna baadhi ya wanawake ambao hu-prefer kujifungua kwa upasuaji kwa kuhofia kuumbuka na mchezo wao mchafu manake nasikia manesi huwa wanawasimanga hasa wanapotoa haja kubwa badala ya mtoto wakati wa kusukuma.
Kumradhi kwa lugha wakuu....!
Wana JF Wasalaam Aleykhum!
Kuna habari miongoni wa Wanawake hasa wenye uwezo wa Kiuchumi kwamba wao hawapendi kuzaa kwa njia ya asili ili kuepuka maumvivu na uchungu wa uzazi. Pia wakizaa kwa njia ya upasuaji, wanadai kuwa maumbo yao yanaendelea kuwa "Bomba".
Lakini wengine wanapingana na hilo na kuwa kuzaa kwa "Mkasi" kunamfanya mama asijue thamani ya mtoto kupitia uchungu wa mwana na hivyo kumwondolea upendo. Kwa mtazamo wao uzazi wa namna hiyo "Mkasi" uwe ni kwa wale tu walio katika hatari kuwa wakizaa kwa njia ya kawaida wanaweza kupoteza maisha.
Wadau, hii chaguo mbili zimekaaje?