Kuzaa mtoto alielegea

korino

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,004
Reaction score
666
habari zenu ndugu zangu! naombeni ushauri juu ya uzazi wangu huu...ni msichana mwenye umri wa miaka 28..nlibeba ujauzito hatimae nkajifungua kwa njia ya kawaida mtoto alkuwa na kilo 4.1..alikuwa ni mtoto wa pili! nlijifungua salama nashkuru Mungu mtoto wa kiume ila mtoto alikuwa amelegea yaan hana nguvu! nlipatwa na hofu...nlimlea huyu mtoto hakuwa mchangamfu km alivyokuwa dadaake! alipofika miez minne nlimpeleka hosp nkaripot kwa dr.lkn wanasema hana tatizo atakaa sawa tu! mh ckuwa nmeridhika nliwaona madaktari wengi lkn jibu lilikuwaa hilohilo...

wananiuliza analia ndio analia, anacheza sio saana, mtaratibu kuliko yule mwenzie! ndio nlipata daktari mwengine akanishauri nimpeleke akafinyiwe mazoezi ya viungo! namshukuru Mungu anaendelea vizuri lkn sina amani saaana kwa sasa ana 1.7yrs ni mtundu! anapenda michezo sana ila bado ana ile hali ya ulegevulegevu japo sio sana! naombeni ushauri dada zangu kaka zangu hili tatizo lilitokana na nn na namna ya kuliepuka hapo kwabaadae ntakapojipanga kupatamtoto mwengine!

natanguliza shukran zangu asanteni sana na Mungu awabariki!
 
Nenda kwa madaktari wanaohusika na watoto hakika watakusaidia kutatua tatizo la mtoto wako
 
Pole na hofu nitumie no yako nikupe suluhisho
 
N
Nenda kwa madaktari wanaohusika na watoto hakika watakusaidia kutatua tatizo la mtoto wako
asante! nmetembea kwa madaktari weng tu! nimeona sasa nmehamie na huku...
 
Ni PM
 
asante! nmetembea kwa madaktari weng tu! nimeona sasa nmehamie na huku...
Pole sana dada Korino,kuna kitu ambacho nimeweza kukihisi apo na kuwa huenda kikawa ni kisababishi,kwa namna tu ya maelezo yako kwa jinsi huyo mtt alvozaliwa na huenda nikawa na suluhisho/ushauri wa suluhisho la shida ya mwanao.
Nishapataga case inafanania na hyo,lakin nlivomshauri huyo mwenzako mwisho wa cku alinishukuru...
Kama hutojali,waweza nicheck kupitia 0768228904.KARIBU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…