Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Aisee nimetoka kucheka sana muda uliopita
Nilikuwa kwa mangi nakunywa soda ya pepsi akaja msichana mmoja na rafikiyake ambaye ni mama kijacho
Sasa bhana huyu mama kijacho alikuwa anaogopa siku ya kujifungua itakuaje mwenzake akamwambia usiogope kuzaa ni kama kupenga kamasi pyeee mtoto anatoka aisee nimecheka sana kwa kweli
NB:gonga like kama na wewe umecheka kama mimi