Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
hauna bandamaCjacheka. Cgongi sasa
kwa nn mkuu?JF ifike mahali muweke na kitufe cha DISLIKE
sijapenda aliyesema kuzaa ni kupenga kamasi, na hali watu wanazaa kwa uchungu mkalikwa nn mkuu?
Hii imebuma tafuta nyingine NO LIKEAisee nimetoka kucheka sana muda uliopita
Nilikuwa kwa mangi nakunywa soda ya pepsi akaja msichana mmoja na rafikiyake ambaye ni mama kijacho
Sasa bhana huyu mama kijacho alikuwa anaogopa siku ya kujifungua itakuaje mwenzake akamwambia usiogope kuzaa ni kama kupenga kamasi pyeee mtoto anatoka aisee nimecheka sana kwa kweli
NB:gonga like kama na wewe umecheka kama mimi
yelewiiiiiiiiHaichekeshi hata
Aisee nimetoka kucheka sana muda uliopita