Kuzaa watoto wengi inachangiwa na ugum wa maisha

luckman

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Posts
1,211
Reaction score
371
Kuna mtafiti mmoja alisema, kuzaa watoto wengi intokana na ugum wa maisha kwani, msongo wa mawazo na vp tutakula humsababisha mke au mme awe na mawazo mengi, so the only way ya kupunguza mawazo huwa na kujamiina bila mpangilio na kila wakati kustarehe ili mawazo yapungue! Hii ni kweli nadhani!!!!!!!!!!!
 
Huyo mtafiti anaitwa nani na alifanya wapi huo utafiti wake na lini aliufanya?
 
sasa mbona uzazi wa mpango ni bureee! mi wanawake huwa wananichoshaga saa zingine! if u think life is tough,try hiv!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…