mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
Eti wanajamvi, hivi hapa Tz kuna kiwanda kinachozalisha tshirts-kuzalisha/manufacture sio kuprint,
am not sure sunflag (arusha) kama wanazalisha na suala la ubora pia, yaani ni kama una sample zako then unataka wakuzalishie za aina hiyo.Nimeuliza uliza naambiwa india india,
natanguliza shukran