mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
Arusha mbona wanapiga kazi! Kuna kiwanda huku Kisongo kinaitwa A 2 Z!
Asante Job, naomba address yako i mean simu au email kama unaifahamu nijaribu
Sasa Mama Dunia hapo kwenye red jamani unaomba address yangu au ya kwao?
Kwenye Google nimepata namba yao ya simu ni 0736 500466 kama ulimaanisha hivyo!!! Website yao ni www.azpfl.com huko kuna Dialogue Box inatokea yenye kukupa nafasi ya kutuma hoja zako na maswali yako kwao.