Tuna CCM mpya tangu 2015CCM ya 1977 na CCM ya 2017-2020 ni vyama viwili tofauti vyenye majina yanayofanana na vinavyotumia usajili mmoja baada ya kile CCM 1977 kufariki dunia na hakipo tena.
Hivyo waweza kuvipa mfano wa jina Nyerere. Yupo Nyerere (Julius) ambaye alikuwa mwanafalsafa mtumia akili ambaye sasa ni marehemu na yupo Nyerere (Makongoro) ambaye ni Mlevi na mchumia tumbo.
Ni makosa sana kama utasema huyo ni Nyerere mmoja au CCM hiyo ni moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna CCM mpya yangu 2015