Kuzaliwa Tanzania nao ni ujasiri!

Kuzaliwa Tanzania nao ni ujasiri!

Trable

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2023
Posts
1,781
Reaction score
3,288
Ni nchi yenye uajabu wake!

Ni nchi yenye rsilimali zake nyingi, ila huwa hazitoi faida kwa wananchi!

Utasikia kiongozi akisema, hiki na kile, kimetutia hasara ya mabilioni kadhaa, tuwape wageni wakiendeshe!

Cha ajabu... hata hao wageni wakipewa! Nao hawaingizi faida! Kama sio ujasiri wa mtu kuzaliwa Tanzania ni nini?

Watu wake wakikwambia neno hapana! Wanamaanisha ni Ndiyo!

Wakisema Ndiyo, pia huwa Ndiyo!

Neno ndiyo na hapana hawajui kutofautisha!

Huu ndo ujasiri wa kuzaliwa Tanzania!
 
Back
Top Bottom