sio kila mwanamke unaweza kumwendea chumvini.kuna wengine wachafu hawajisafishi,ila ukimpata anaeujua usafi na umaridadi hapo hakuna fangas wala nini,naskia pia mwanamke anapata raha kubwasanasanasana ukimtembelea chumvini,ila mimi siendi chumvini.
mbona umekonda unakansa nini Mchungaji.UMEJIKUNJA unaonekana una canser ya kiuno ilikuwaje?Jiepushe na magonjwa yatokanayo na hepatitis. Utapata cancer ya koo
Wataalamu wa masuala ya afya wanasema kwenda chumvini kuna madhara makubwa,hivyo kama unaenda acha kabisa ili kujinusuru na magonjwa mbali mbali.
chumvini kama ni kwa mkeo ruksa!
kwingine utakua unajitafutia magonjwa tu
Chumvini kuna raha sana m2 wangu,me ktk kumuandaa mwanamke yule msafi lazima nimfanyie maandalizi yaani 4 aplay,kwa hiyo ni pamoja na kwenda chumvini,so just maandalizi hayo.
Siyo lazima kuanzisha mada isiyo na faida hata kwa wachangiaji.cr_p!
hivi ni lazima kuanzisha thread hata kama huna hoja?
Jiepushe na magonjwa yatokanayo na hepatitis. Utapata cancer ya koo
Ndugu wa jf wenzangu,eti kwenda chumvini kunakofanywa na baadhi ya wanaume kuna faida gani?na kwa nini watu wanaenda chumvini?kwani kuna nini huko?
Hii ndo nini sasa??? Swali gani hili???
Under -18 at work
kujaribu au kutojaribu hiyo ni siri yangu.Umejuaje kuwa mwanamke anapata raha m2 akimuendea chumvini au umeisha wahi jaribu ndugu?