Unamaanisha koni zipi zile za Azam??? Naomba jibu then nitaendelea kujadili thread yako

Namaanisha mwanamke kulamba uume wa mpenzi wake na kwenda chumvini.. mwanamme kulamba uke wa mpenziwe... kulamba kama vile unakula Azam ICE CREEM. Naomba majibu mwana JF
Mie ni Adam

Kajuni samahani kwani wewe ni kaka au ni dada? nikishapata jibu naweza changia mada yako
Sijakuelewa kuanzia hoja yako hadi kwenye signature.....! Nadhani kuna utata katika signature yako, tafadhali tatua mkuu.... acha madharau...!alamba almba ham hammmmm,lamba wewe ukilambiwa husitoe macho kama fund saaa

sasa jibu hili hapa mwanaume rijali hana haja ya kulambwa koni yake na mwanamke rijali hana haja ya kulambwa chumvini, kwahiyo maana yake siyo marijali
kulamba koni ni kumnyonya mwanamme korodani zake au gololi(kwa kilatini huitwa fellatio au minyet)na kwenda chumvini ni kumnyonya mwanamke uchi(kwa kilatini huitwa cunnilingus).Haya yote ni vionjo vya penzi ambavyo husaidia wote wawe tayari kwa penzi.Wenzetu wazungu(hata weusi wa nje)pia humnyonya mwanamke/mwanamme mpaka sehemu ya aja kubwa(hii huitwa rumming).Haya hayamhusu asiye na nguvu za kiume tu bali wote. Moja ya madhara ya haswa cunnilingus ni kuambukizana maradhi ya fangasi(utando mweupe mdomoni)kama mwanamke atakuwa si msafi,pia kwasababu ya ukaribu wa maumbile ya mwanamke,kuna hatari ya kula haja ya mwanamke jambo ambalo laweza kupelekea kupata maambukizi ya bacteria wa salmonella au E.coli ambao husababisha kuhara
wadau wa mahusiano, mapenzi na urafiki... kuna kitu kina nitatiza!!! nini maana hasa ya mwanamke kulamba koni?? katika pita pita zangu niliambiwa njia hii utumika kuamsha hisia kwa jamaa ambao jogoo alisimami... Je nilazima kwa mwanamume anayesimamisha ipasavyo kulambwa?
Na wanaume nini hasa muntadha wa kwenda chumvini? nini faida hasa? je ni lazima? napata shaka kwamba tumeathirika na mitandao na picha za ngono zisizo asili ya MWAFRIKA!!!!
Kwa mtazamo wangu kuna sehemu nyingi sana za kugusana kama ni kupandishana mzuka na sio kwenda chumvini au kulamba koni... wadau nifahamisheni kwani wiki hii nimeambiwa nisipo kwenda chumvini game hakuna:redfaces:
Join Date : 27th May 2009
Posts : 10
Thanks
2
Thanked 1 Time in 1 Post
Mkuu ile field ulimaliza salama? Tupeane matunda basi
wadau wa mahusiano, mapenzi na urafiki... kuna kitu kina nitatiza!!! nini maana hasa ya mwanamke kulamba koni?? katika pita pita zangu niliambiwa njia hii utumika kuamsha hisia kwa jamaa ambao jogoo alisimami... Je nilazima kwa mwanamume anayesimamisha ipasavyo kulambwa?
Na wanaume nini hasa muntadha wa kwenda chumvini? nini faida hasa? je ni lazima? napata shaka kwamba tumeathirika na mitandao na picha za ngono zisizo asili ya MWAFRIKA!!!!
Kwa mtazamo wangu kuna sehemu nyingi sana za kugusana kama ni kupandishana mzuka na sio kwenda chumvini au kulamba koni... wadau nifahamisheni kwani wiki hii nimeambiwa nisipo kwenda chumvini game hakuna:redfaces:
Umeniudhi kwa unafiki wako, unajifanya hujui, mara tena hapo chini wewe mwenyewe unatoa mchanganuo, wewe endelea kuzama chumvini kama ulivyozoea usituzuge hapa, ila angalia yasikukute ya mwenzio aliyewashwa mdomo mwezi mzima!