Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

:eyebrows:...sioniii!!!??? naonaaa?????!!wakubwa haoooo.... Salt-ini bwana!
 
jamaa wa uvinza asubuhi wamekupotezea jumla, poleeee! Labda jaribu kuuliza mida ya jioni-jioni hivi utapata majibu.
 
umeona eeh,na mwanaume akifanyiwa utundu kidogo tu anawehuka,akina dada mlio kwenye ndoa tujaribu kuwa wabunifu jamani,vinginevyo ni maumivu tu..

Ila si lazima waliopo kwenye ndoa,hata mahawara na wapenzi nao mjaribu kuwa wabunifu.
 

Ah Wapi.
ME NA CHITCHAT DAM DAM.
 
Last edited by a moderator:
hahaha,tutaandamana mpaka ulipo tuje tule.. we hayaa.
my dia mtoto wa kike lazima ujiamini na ufanye yanayokupa raha maishani. thx
hiyo ndo theory yangu na haya mavitu!
hakuna kuremba mi huwa nasema love making na mume wangu ni biashara,ili nipate faida lazima
niipende
niiboreshe
nimridhishe mteja
niiridhike na ubora wa bidhaa
nijitume kazini
nitoe bonus
niboreshe miundombinu
niliboreshe duka
nifanye matangazo(chezeya mambo ya kutuma sms ya angalizo kuwa usiku kuna bidhaa murua itatolewa wewe)ahahahahha hivi si nilisema siongei kingungwi leo au? Graca umenichokoza!
 
Last edited by a moderator:
Ni sawa Graca, mapumziko muhimu esp j2.
Navuta kasi niingie uvinza second time ila nimefunga madirisha manake huo ukelele unaopigwa, majirani hawakawii kupiga kozi. si unajua tena nyumba zetu za uswazi!

usisahau na kamziki laini ka taratiiibu katakufanya upate hamu zaidi. ohh its so romatic making love huku kuna blues ...ohhh
 
AAHAHHAAHHAAHHAHHAH yani na makanisani tungekuwa na ushirikiano huu wa leo !kha mbona mbinguni tungebanana!

Hakika binadamu tu wabaya sana. Nina hakika aliyeleta mada hii na baadhi yetu tulio wengi tunaoijadili tunavuja AMRI YA SITA YA MUNGU, Naomba tuwaachie wanandoa wajadili, bilashaka mada itanoga zaidi..... BAADA YA SADAKA, TUKAPOKEE MWILI WA BWANA WETU....
 

mi nna ndoa mwaka wa 15 huu!kwa hiyo nipo eneo kuntu kabisa!
 
Sio mwanaume anakutia we umebaki kulalamika ohoo mme wangu kodi imeisha,mara ohoo sijui Mlango haujafungwa.
Pale sio mahala pake.
Shughulika kwanza,
Michapo baadae.

Nimenunua Kifurush Cha 200Mb,Yote Nicptwe Na Hii Kitchen party!
MADAME Mamaaa Tupe Tupeee Maki2 Yalofunikwa Hayo!
Hehehehe!
 

na promise kibao my dia, mi wangu kuna siku alipagawa akawa analia ovyo na kuaniambia ooh ile nyumba bahari beach nakuachia mara oh ile project utasimamia yaani ni full kujikoroga tu jamani, wanaume bwanaa ukiwajulia yaani hawakupi shida kabisa..
 
Nimenunua Kifurush Cha 200Mb,Yote Nicptwe Na Hii Kitchen party!
MADAME Mamaaa Tupe Tupeee Maki2 Yalofunikwa Hayo!
Hehehehe!
na bado kwa mwendo anaoenda nao shosti wangu Madame B mbona itaisha muda si mrefu na itabidi uongeze kabisa mapemaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
hivi Graca unajuaa ulivosema wakaka kuna nondo utazikosa manake kuna watu humu ndani wanaweza kuua wakijua ulimaanisha na wao!since mi nawajua mizungu yao ilivyo ngoja nikueditie mwaya angalau waje humu
KWENDA CHUMVINI(WANAUME MPENI UZOEFU WENU)
haya The Boss, Kaizer, SnowBall, Dark City, Mtambuzi, Mkusa,
na wengine woote kizazi cha sambulumaaa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…