Kuziba maskio yote mawili ghafla

Kuziba maskio yote mawili ghafla

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
7,755
Reaction score
11,737
Habari wanajamii forum,Niende moja kwa moja kwenye mada,ninae mtoto wa kike alikuwa mzima anasikia vizuri kabisa!Sasa changamotoimekuja baada ya kwenda form five term ya pili2022Akiwa huko akawa hasikii ghafla!Aliporudi likizo tuakaenda kumfanya check-up wamesema Hana tatizo lolote!
 
Lakn ujue kunatofauti kati ya kusikia na kusikiliza [emoji38][emoji38] joke wataalamu wa tiba ya masikio wanakuja.
 
Kilichobaki Uswahili Wamemsotea Siyo Bure
 
Msijaribu kwa waganga. Asikate tamaa,maombi yatamsaidia
 
Back
Top Bottom