Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Naamanisha yameacha kusikia na yanamuuma wakatiflaniLakn ujue kunatofauti kati ya kusikia na kusikiliza [emoji38][emoji38] joke wataalamu wa tiba ya masikio wanakuja.
Stay tuned apa wanakuja wajuziNaamanisha yameacha kusikia na yanamuuma wakatiflani
Tulishaenda hospital wakasema hayana tatizo na wakampa dawa!Mganga wa kienyeji?!!Nenda kwa mganga
Pole na ahsante kwa ushauriPole sana hii hali ilinikuta advance ushauri mwambie aongeze maombi