U Uncle Jei Jei JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 1,684 Reaction score 2,156 Jun 3, 2016 #1 Naomba kufahamu chanzo kinachoweza kumsababishia mwanamke hormone zake zisiwe na uwiano sawia, dalili zake, kama husababisha kutopata ujauzito na namna gani zinaweza kurudi kuwa sawia
Naomba kufahamu chanzo kinachoweza kumsababishia mwanamke hormone zake zisiwe na uwiano sawia, dalili zake, kama husababisha kutopata ujauzito na namna gani zinaweza kurudi kuwa sawia