Yatabomoka tu baada ya miaka 1000 au 10000 ..... in planetary time miaka 10000 sawa na nusu siku ....ila human life ...time ya miaka 10000 ni alot ...so hayo yote baada ya miaka fulani yatabomoka tuViumbe vyote hutoka kwenye mavumbi ya ardhi. It is a collection of substances that have been recycled over time. Nataka kuuliza kitu. Kuwazika watu waliokufa kwenye makaburi yaliyojengwa kwa sementi kuna mchango gani kwa asili ambayo ndiyo sisi sote tumetoka huko? Viumbe vyote ,wanyama na mimea vikifa vinatakiwa kurudi mavumbini ili viwe recycled na viumbe vingine vitengenezwe/viumbwe. Kinachotufanya leo tuishi ni matokeo ya viumbe vilivyokuwepo zamani vikafa vikarudi mavumbini ndipo kwa particles hizo tukaumbwa.
Mkuu mbona tena hata basic biology unaipiga chenga? Nakuheshimu but please think criticallyWewe uliumbwa kwa mavumbi au mama yako alikuzaa?
Nakuuliza umetokana na mavumbi au mama yako alikuzaa?Mkuu mbona tena hata basic biology unaipiga chenga? Nakuheshimu but please think critically
Asante. At least umeleta jibu la kufikiriwa. But my question still remains. What is is the point to burry our deads? We will all die at the end na tunataka vizazi viendelee. The substance we have in our bodies needs to be recycled ili watengenezwe binadamu wengine, wanyama na mimea. Sababu ya kuwafukia wafu kwenye makaburi ya sementi ni ipi?Yatabomoka tu baada ya miaka 1000 au 10000 ..... in planetary time miaka 10000 sawa na nusu siku ....ila human life ...time ya miaka 10000 ni alot ...so hayo yote baada ya miaka fulani yatabomoka tu
Seriously?? Components zilizomtengeneza mama aliyenizaa zilitoka wapi? Nutrition aliyokuwa ananipa kupitia umbilical cord nikiwa tumboni mwake aliitoa wapi?Nakuuliza umetokana na mavumbi au mama yako alikuzaa?
Wewe ndio huelewi hata basic biology.
Hakuna biology inayosema binadamu alitokana na mavumbi.
Nahisi aidha ni urembo, tunahisi tukiwejenge sehemu nzuri ni kama kuonyesha upendo au kumjali mtu aliyezikwaSababu ya kuwafukia wafu kwenye makaburi ya
Kiimani ambavyo anaamini ni kuwa binadamu ni udongo na udongoni atarudi akimaanisha Mungu alimuumba binadamu kwa udongo,, HAPA NIISHIE HIVYO MAAKE UNA MASWALI MENGI YASIYO NA MAJIBUNakuuliza umetokana na mavumbi au mama yako alikuzaa?
Wewe ndio huelewi hata basic biology.
Hakuna biology inayosema binadamu alitokana na mavumbi.
Wajinga sana hawa watu. Kubishana nao kazi bure kabisa.Mkuu mbona tena hata basic biology unaipiga chenga? Nakuheshimu but please think critically
Nakuelewa. Lakini hili linaendeza vipi maisha kwenye hii sayari yetu? Hakuna maisha bila recycling. Huo upendo naelewa. It is a product of human mind. Kwa nini tusiwe na upendo kwa viumbe watakaokuja baada yetu? Wapo wetu waliwaza mbali wakaomba wakifa miili yao isizikwe itumuke katika tafiti za kisayansi. Great minds!Nahisi aidha ni urembo, tunahisi tukiwejenge sehemu nzuri ni kama kuonyesha upendo au kumjali mtu aliyezikwa
Au kuweka alama ya sehemu alipozikwa ndugu yenu
una feel nini na ulishakufa tayariMimi bado nawaza nikifa nichomwe tuu moto maake naona ardhini ni Giza bado kuekwa na kufunikwa kwenye jeneza,, naona Kuna namna huwa na feel duuh
cc Poor Brain Bora kuchomwa moto tuu au unasemaje mbuzi kafiri
Recycling ya aina gani unayozungumzia maana kama ni energy, inafywoza na udogo na kutokea sehemu nyingineNakuelewa. Lakini hili linaendeza vipi maisha kwenye hii sayari yetu? Hakuna maisha bila recycling. Huo upendo naelewa. It is a product of human mind. Kwa nini tusiwe na upendo kwa viumbe watakaokuja baada yetu? Wapo wetu waliwaza mbali wakaomba wakifa miili yao isizikwe itumuke katika tafiti za kisayansi. Great minds!
Ni basi tuu ukiwa hai unafikiri vingi Ila najawa na hofu sana mkuuuna feel nini na ulishakufa tayari
Ni kweli.Wajinga sana hawa watu. Kubishana nao kazi bure kabisa.
Kaaazii kweli kweli. Yaani mtu haelewi kwamba mpaka huyo mama aliyemzaa alikula ugali, mchicha , maharage, wali, nyama na kdhalika ndipo hilo yai likajijenga mwilini mwake . Na huyo mwanaume amekula vitu hivyo hivyo ndipo mbegu ya uzazi ikajengwa mwilini mwake. Hivi walivyokula vyote vilitoka shambani/ardhini.Wajinga sana hawa watu. Kubishana nao kazi bure kabisa.
Inatokea sehemu gani? As an observable particle au?Recycling ya aina gani unayozungumzia maana kama ni energy, inafywoza na udogo na kutokea sehemu nyingine
Watu wanazika kama kumbukukumbu kwa kujenga vile pia ubinadamu tu ila trust kuoza utaoza tu na kupoteaAsante. At least umeleta jibu la kufikiriwa. But my question still remains. What is is the point to burry our deads? We will all die at the end na tunataka vizazi viendelee. The substance we have in our bodies needs to be recycled ili watengenezwe binadamu wengine, wanyama na mimea. Sababu ya kuwafukia wafu kwenye makaburi ya sementi ni ipi?