Kuzika marehemu kwenye makaburi ni sawa? Asili inasemaje?

Mi nilizaliwa hayo ya udongo yanabaki kuwa nadharia hayana uthibitisho.
Ukitaka kuthibitisha hilo,

Fukua kaburi la mtu aliyezikwa miaka mingi sana,utakutana na udongo tu,

Kila kitu hurudi kwenye nature ya asili yake,
Hata Chuma huliwa na kutu na kuirudia nature yake na kua udongo tena.
 
Mimi nikifa nitaomba wasinizike na jeneza, wanitupie tu kaburini ili nioze fasta mambo mengine yaendelee, labda wasakafie kwa juu tu kuonyesha hapa Kuna mtu alizikwa, hiyo inatosha
 
Seriously?? Components zilizomtengeneza mama aliyenizaa zilitoka wapi?
Ukianza kuuliza sehemu vinapotokea vitu, Hata hiyo sehemu vinapotokea vitu hivyo lazima iwe imetokea sehemu nyingine fulani.

Kwa hiyo kutakuwa na msururu mrefu wa sehemu nyingi zisizo na mwisho, vinapotokea vitu.

Kwa hiyo ukiuliza components zinatokea wapi, Hata hiyo sehemu zinapotokea components hizo, itahitaji kutokea sehemu nyingine.
Nutrition aliyokuwa ananipa kupitia umbilical cord nikiwa tumboni mwake aliitoa wapi?
Kasome Biology kuanzia kutungwa mimba, ukuaji.wake hadi kuzaliwa.
 
Mimi naona ni bora tungekuwa tunachomwa moto kama wahindi tu, maana haya mambo ya makaburi makaburi, yanajaza maeneo
 
Wajinga ni ninyi mnao ona binadamu wanazaliana wenyewe. Halafu mnaleta hadithi uchwara za binadamu kuumbwa na mavumbi.

Kwani wewe uliumbwa kwa mavumbi au mama yako alikuzaa?
Hata sayansi inasema almost kila kitu kwenye dunia kimetokana dust (stardust) ambayo kwa kiswahili ni vumbi
 
Sio lazima binadamu awe recycled kuna wanyama kibao na viombe kibao vinakuwa recycled ..so binadamu sio lazima awe recycled eti uhai uendelee dunia ......kuna mamillion ya viumbe yanakuwa recycled...pia its your choice kabla hujafa sema mimi na nataka niwe direct recycled watakuzika uchi sio futi sita bali futi tatu full recycled

kuwa recycled ni lazima kwa wote hata uzikwe wapi baaada ya miaka fulan utakuwa recycled utaaoza full ....kama huja elewa basi endelea mkuuu
 
Mleta uzi unaweza jihisi unafikiria critically lakini haoana. Nimetoa hii sentensi baada ya kuona unauliza tumboni kwa mama yako nutrition ulizipataje kwa umbilical cord
 
Hata cement ni huohuo udongo. Kwahiyo hakuna kilichokwepwa
 
Mimi bado nawaza nikifa nichomwe tuu moto maake naona ardhini ni Giza bado kuekwa na kufunikwa kwenye jeneza,, naona Kuna namna huwa na feel duuh

cc Poor Brain Bora kuchomwa moto tuu au unasemaje mbuzi kafiri
Ahahahahha we jamaa yaani uchomwe mara mbili...
Maana moto wa mungu weww kuuepuka ni ngumu.. bado uchomwe unapokufa ahahah hyo inaitwa πŸ”₯ square...

Naomba nikuulize kwanini unapenda makafiri na vyakula vyao
 
Ahahahahha we jamaa yaani uchomwe mara mbili...
Maana moto wa mungu weww kuuepuka ni ngumu.. bado uchomwe unapokufa ahahah hyo inaitwa πŸ”₯ square...

Naomba nikuulize kwanini unapenda makafiri na vyakula vyao
Utachomwa mara tatu wewe mzinifu mfunua nyuchi za wazee,, makafiri sio watu ? Au ninyi mnaoswali sana ndo wenye pepo ?? Lazima Nile misosi yote sijui Cha kafiri wala astakafirullah
 
Dogo issue ya uumbaji iliisha na kwa sasa tunajizalisha wenyewe! Kiumbe cha mwisho kuumbwa ni binadamu na baada ya hapo viumbe vyote vikapewa amri ya kuzaliana.....Ina maana uumbaji wa mavumbi ulikuwa wa muda na ukaisha na sasa viumbe vinazaliana kwa kunyanduana.....Wewe hukutokana na mavumbi umetokana na kuzaliana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…