Kuzinduliwa gari yenye kutumia Android OS ya maajabu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Hii gari, mzungu Mark Thomas Bush anasema inazinduliwa Tarehe 1 mwaka 2020. Itakuwa hata ikitaka kuvutwa gari lingine itavutwa kwa wireless, yaani bluetooth au any wireless app.

Kwa hiyo hii gari kuvutwa haitahitaji wire, kamba au mnyororo.pia itakuwa na matumizi ya umeme na mafuta.battery yake ukicharge mara ya kwanza kuanzia hapo inaendelea kujicharge kwa masaa 72 gari inatembea pasipo mafuta wala umeme.

Pia itakuwa na uwezo wa wireless charging na solar power.uwezo wake wa kubeba abiria ni 5 na nyingine 8. Speed ya hii gari ni 380 kmp. Horse Power yake ni 580 kwa engine ya 7800 CC.

AMKENI WADAU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…