Kuzolota kwa D9 kumeniacha na msongo wa mawazo

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Mpaka sasa nahisi dishi langu limeyumba na Chanel hazisomi kabisaa wanawane..

Tangu October 29 na sasa D9 Hadi Leo nimekua nikikesha na kubugia pombe nakunyandua singo mazasi . kwa kifupi nimekua zezeta kama Lucas Mwashambwa .Yaan kila nikiwaza miaka mingine mitano ijayo chini ya mfalme juha na Genge lake , nachoka Mimi mwehu!

 

Attachments

  • IMG20251211154341.jpg
    243.3 KB · Views: 20
  • IMG20251108173709.jpg
    346.3 KB · Views: 14
Ukijumlisha na kumuona Samia live leo ndo kabisaa
 
Ila picha za kunyandua hatujaziona
 
Tarehe 25 December ngoma inaendelea.
 
Tanzania nzima wenye akili timamu wote acha wanufaika the rest wako kama wewe hawaelewi kittu kabisa mtu unaweza mshika bega ukasikia anasema achia kichwa changu bhana yaani watu hawwaelewi kitu hauko alone master hii ngumu kumeza
 
Endelea kua mjinga. Waliokua wanakushawishi wako ulaya na marekani wanakula Bata ...wengine wamelipwa mabilions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…