Kumbe ni kupanda ndege tu na si mataji???!!!Jamaa wamepanda ndege mara mbili tu ikawa zii.
Huu nao ni uzwazwa. Kupanda ndege ni sifa? Wapasua mbao wa mafinga wanapanda ndege,sembuse Simba?Jamaa wamepanda ndege mara mbili tu ikawa zii.
Lazima upande sana ndege kupata matajiKumbe ni kupanda ndege tu na si mataji???!!!
Kazi kweli kweli.
Utapata Kombe la CAF kwa kupanda Boat ya Zanzibar?Huu nao ni uzwazwa. Kupanda ndege ni sifa? Wapasua mbao wa mafinga wanapanda ndege,sembuse Simba?
Na hizi kauli za kutaka muafaka nyingi zimekuja baada ya simba kutoka angeshinda matusi ya manara tungekosa pakuyaweka kwa kweli kuwaombea simba washindwe ile siku ilikuwa haiepukiki labda tuanze sasa kwa yanga kwenye shirikisho la hasha tuendelee na utamaduni huo huo mbovuTuache pia kutambiana na dharau zisizokua na maana! Mfano jana simba ingeshinda ungemsikia Manara akileta tambo za kijinga na dharau dhidi ya Yanga! Hii ndio husababisha kuzomeana na kushabikia wageni!
Yanga mlisema simba wasijipendekeze kuwashangilia mechi yao na township,mliamini mtashindaNa hizi kauli za kutaka muafaka nyingi zimekuja baada ya simba kutoka angeshinda matusi ya manara tungekosa pakuyaweka kwa kweli kuwaombea simba washindwe ile siku ilikuwa haiepukiki labda tuanze sasa kwa yanga kwenye shirikisho la hasha tuendelee na utamaduni huo huo mbovu
Basi tuendelee tu kama mbwai iwe mbwai mpaka tutakapoitisha mjadala wa kitaifa kujadili hili jamboYanga mlisema simba wasijipendekeze kuwashangilia mechi yao na township,mliamini mtashinda
Tunatia aibu, wenzetu waliopiga hatua kisoka hawazomeani hata kama hawapendani.Basi tuendelee tu kama mbwai iwe mbwai mpaka tutakapoitisha mjadala wa kitaifa kujadili hili jambo