Kuzuia baadhi ya mavazi CBE ni kinyume na haki za binadamu


Kama huna tabia za ushoga bc unakunywa sana viroba
 
Huyo jamaa nahisi ni compaign manager wa shetani,utateteaje ujinga hadharani!!!!.Ikiwezekana wabane hadi lipshine
 

vyuo vya kata ndo vina huo ungese
 
Tuko mkali wng hii mada umechemka?au ulikuwa unatakazungumzia katika minajili gani?dini au maadili?
 
Sasa umeambiwa chuo ni sehemu ya mitindo? Kama unataka mitindo nenda kwa mustafa hassanali
 
Taaluma inaendana na maadili siku zote uwezi sema haki za binadam kama unakiuka utamadun sahihi wa nchi yako.Acha kudanganywa na video
 
Mnamlaumu Mkuu wa Chuo au mnaulaumu Uongozi wa Chuo? Mimi naamini Mkuu wa Chuo anawakilisha makubaliano ya Uongozi wote [Utawala], yeye akiwa mtekelezaji tu.

Pamoja kuwa anajukumu kubwa zaidi la kuibua Taaluma ya Chuo,hamuoni kuwa taaluma huanzia kwenye nidhamu, na nidhamu ni mkusanyiko wa vitu vingi ambapo matokeo yake ni pamoja na ubora ktk Taaluma?

Naungana na Utawala wa Chuo ktk kudhibiti masuala ta mavazi ILA tu, isijekuwa mavazi ya dini zetu kugeuzwa kuwa ndio mavazi ya heshima.
 

umeandika kwa busara, ila hujaandika chenye busara!
 

Sasa wewe tatizo lako nini ulitaka waendelee kuvaa vimini uwachungulie?Kama unajiamini sheria zimevunjwa nenda mahakamani ukapinge.
 
I am of the view that Mr. Othman need to be congratulated for what he has done at CBE. HOJA ZA MLETA UZI HAZINA MASHIKO HATA KIDOGO.
 
Mwache aende pale RITA na bichi koma lake kama hajakodi bwanga bonge la suruali ili apate huduma. Au aamue kutotii ili asipate huduma...
Eti nayeye jamaa anajiita great thinker!
 
mwache atayalishe maadili kwa viongozi watarajiwa,safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…