Kuzuia baadhi ya mtu kutonipigia simu

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
277
Wakuu mambo vp? Nilijaribu kudownload hizo software kwa kutumia simu yangu lakini kila ninapojaribu kufungua inakataa inaniambia FILE FORMAT NOT SUPORTED nitumie njia gani ili niweze kuinstall hiyo proglam kwenye simu yangu ili niweze kuitumia kwa kublock baadhi ya watu kutonipigia cm?
 

Mi nilifanikiwa thru your thread nili-download call filter. Cha muhimu ni kuhakikisha umepata model sahihi ya simu yako ili unapo-download iwe compatible na device yaani handset na filmware yake.

Jaribu tu kaka sidhani kama itashindikana.
 
unatumia simu gani ?????? kama unatumiaa symbian phone kuna software inaitwa mcleaner inafanya hio kitu hata sms ina zi block
 
ni baadhi ya watu ndio kiswahili fasaha. Baadhi ya "MTU" sio sahihi
 
ebwana mi nataka inayo ruhusu baadh ya watu kunpata tofaut na hapo ncpatkane vp inaweza fanya hvo..?
 
Wazee mambo tunayojadili humu ndani ni mazuri mno nawasifu wale wanaopeteza muda wao kuweka dawa za ukweli na za kusaidia watanzania kwani ipo siku tutaenedelea kwa kasi sn kwa kubadilishana elimu humu, conch all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…