Red sky
Member
- Jul 1, 2024
- 17
- 34
Kuelekea Siku ya vijana Duniani Chama Cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepanga kufanya mkutano mkubwa Jijini Mbeya, katika hali ya kushangaza Jeshi la Polisi Nchini limetangaza kuzuia Mkutano huuo Ambapo wamekuja na hoja dhaifu kua matamko ya viongozi yanaleta taharuki.
Pia soma:Kuelekea 2025 - Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani
Hapo nyuma pia CHADEMA Waliwahi kutangaza kufanya maandamano Jijini Dareesalam, ambapo Mkuu wakoa alitishia kuwapeleka Wanajeshi barabarani Wakafanye usafi Kabla ya Rais mwenyewe kumuamru awaache wafanye maandamano yao ambayo yaliisha kwa amani kama yalivyoanza, sijui kwakua awamu hii kumetangazwa kua watu watatoka maeneo mbalimbali Inchini au nikipi kilicho watia hofu Askali wetu?
Ila wanapaswa kujua kua CHADEMA Katika maadhimisho ya kitaifa hukusanyika katika moja ya mikoa na kufanya kua maaadhimisho ya kitaifa, jambo ambalo hufanya wanachama wake kukusanyikia mkoa huo wakitokea mikoa mbalimbali, Katika mazingila ambayo Rais wa Inchi Mwenyewe amekua Akisisitiza 4R, Sio dhalau dhidi yake kwakujalibu kuzi fifiza?
Yani Jeshi la polisi limeshindwa kuwaeleza Makutano kua wanapaswa kufanya mkutano wao na kutosababisha uvunjifu wa amani, kwani Jeshi la Polisi litakuepo kuhakikisha hakuna uvunjifu wa amani unatokea? Binafsi naamini kuzuia mkutano mkubwa kama huo kwa dakika za mwisho nikutaka kuleta machafuko katika nchi nakutaka kutia doa utawala Rais.