Kuzuia mimba kwa dawa za asili

majivu koroga kwenye maji jaza ujazo wa chupa ya soda nzima then kunywa baada ya kungonoka

Maweeee..... majivu kabisa? MziziMkavu tamka neno hapa kabla hatujampoteza ndugu yetu..

Manka Ukipata jibu sahihi unisaidie kuulizia dawa ya ku postpone ovulation. ..lol
 
Last edited by a moderator:
Chai yenye majani mengi ama meza mbegu za nanasi
 
ngoja niandike hizo njia zitanisaidia siku za mbeleni
 
Maweeee..... majivu kabisa? MziziMkavu tamka neno hapa kabla hatujampoteza ndugu yetu..

Manka Ukipata jibu sahihi unisaidie kuulizia dawa ya ku postpone ovulation. ..lol

nadhani tukiipata hiyo dawa ndio muhimu na ndio inayohitakija ktk maisha yangu ya kila siku
 
Last edited by a moderator:
Aisee manka alivyokuwa anakata kiuno kama panga boi kitu kimeingia ..... aisee naitwa mama mkubwa mda si mrefu..... acha wasiwasi itakuwa mabadiliko tu ya hali ya hewa kapima ili uwe na uhakika..... kujua kalenda yako ndo kitu kizuri zaidi sisy ....
 
Hahaha so wht is ur plan uitoe hii ala fu ujilinde na nyingine sio??kuna wataalam wa kutoa humu au niwataje??w

wasiwasi ndio akili btw nahitaji kujua dawa jaman loo!! Hao utaniitia kama itakuwa positive
 
duuu humu ndani mnaunganisha mtukio jaman lo!! Yan mada ile inaingiaje huku sasa mamkubwa mtarajiwa me nataka kujua jinsi ya kuzuia hii kitu kesho na kesho kutwa nijue nafanya nin btw kalenda naielewa sio kiivo coz ina badilika
 
Kwel kalenda sio kuna wanume wengne mbegu zao zinaish kwa muda kabla hazijaaribika nadhan wataalam wanajua hili
 
Kwel kalenda sio kuna wanume wengne mbegu zao zinaish kwa muda kabla hazijaaribika nadhan wataalam wanajua hili

kabisa yani tena siiamin hata kidogo kuna great thinker kanishauri mbegu za nyonyo ndio mapango mzima sasa pakuzipata ndio shughuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…