Bibie cc.@MankaM Ninakufundisha DawaNaombeni kujua dawa za asili za kutumia ili kuzuia ujauzito
Mkuu god with us hujambo lakini?Hapa naona mkojo ushaganda Mzizi mkavu popote ulipo uje huku kuna shida
bint yangu pole..mbegu za mnyonyo ndo njia mbadala..mwanzo meza mbegu tatu then kila mwezi unameza mbegu moja...utakuja hapa kutoa ushuhuda
Mkuu wewe mtu mbaya unataka kumuuwa huyu bibie? unamwambia ameze mbegu 3 za nyonyo khaa? wewe kweli mtu mbaya usitoe ushauri wa Pumba mkuu tafadhali utawauwa watu humu ndani.bint yangu pole..mbegu za mnyonyo ndo njia mbadala..mwanzo meza mbegu tatu then kila mwezi unameza mbegu moja...utakuja hapa kutoa ushuhuda
Bibie MankaM uwe muangalifu kutumia hizohizo mbegu zinapatikana wapi mkubwa
Mkuu.mimi sijambo kabisa vip naona wekend huku onekana kabsa hukuBibie cc.@MankaM Ninakufundisha Dawa
za mababu wetu walizokuwa wanatumia na kufanya tendo la ndoa pasipo kushika mimba tumia njia hii Mbadala fanya hivi.
Nunuwa Shabu kidogo japo punje moja weka sehemu zako za siri kwenye utupu wako kila unapotaka kukutana na mume
wako kisha fanya mapenzi nae hutoshika mimba kamwe. Jaribu kisha uje unipe feedback. Na njia ingine hii ukitaka usishike
Mimba Mtafute Mdudu Mmoja anaye itwa kwa jina Popo ukisha mpata mchinje upate kichwa chake uwe unaweka kichwa chake kwenye chini ya mto wako wakulalia
hautapata mimba muda wa hicho kichwa cha popo kipo chini ya mto wako wa kulalia jaribu kutumia moja ya hizo dawa
kisha uje hapa unipe feedback.
Mkuu god with us hujambo lakini?
Naombeni kujua dawa za asili za kutumia ili kuzuia ujauzito
mie natamani mchana na usiku hata hiyo mimba iingie ....
Duh kweli dunia balaa sasa si utege siku mupendwa
Bibie cc.@MankaM Ninakufundisha Dawa

Mkuu wewe mtu mbaya unataka kumuuwa huyu bibie? unamwambia ameze mbegu 3 za nyonyo khaa? wewe kweli mtu mbaya usitoe ushauri wa Pumba mkuu tafadhali utawauwa watu humu ndani.
Bibie MankaM uwe muangalifu kutumia hizo
mbegu za nyonyo ni Sumu unachotakiwa kila baada ya kumaliza hedhi ule mbegu moja ya nyonyo utaweza kukaa mwezi
mzima bila ya kushika mimba ukila mbegu 3 za nyonyo baada ya dakika 20 utafariki dunia usijaribu hata kidogo kula mbegu
za nyonyo zaidi ya moja Ushahidi huu hapa chini.
NYONYO MBEGU
UANGALIFU MKUBWA UTUMIKE KATIKA MATUMIZI YA NYONYO, HASA JUU
YA MBEGU ZAKE. KWA KAWAIDA HIZI MBEGU ZIMEWEKWA KATIKA KUNDI LA
SUMU. UZOEFU ULIOKUWEPO UNAONYESHA JINSI MBEGU HII YA NYONYO
INAVYOTIBU MAJIPU NA MATUMIZI MENGINE. HADI LEO TAFITI KADHAA
ZINASEMA JUU YA NYONYO KAMA TIBA YA MAJIPU, JAMBO HILI NI KWELI.
LAKINI IKIMKATAA MTU AU IKISHINDANA NAYE HULETEA KICHEFUCHEFU
SANA.
UTAFITI ULIOFANYIKA KULE TURSA UNIVERSITY UNAONYESHA NYONYO KUWA
KATIKA MIMEA YENYE SUMU TUNAYOPANDA MAJUMBANI. SUMU HII IPO
NDANI YA MBEGU TU, ILE HALI YAKE YA KUMCHEFUA MTUMIAJI NDIO KAMA
KUMWONGEZEA MATATIZO BADALA YA KUMTIBU. WANASEMA ILE MBEGU
IWE NI NYEUPE, NYEKUNDU AU KAHAWIA NA SUMU. UTAFUNAJI WA MBEGU
MOJA TU UNATOSHA KUMUUA MTOTO, NA KUTAFUNA MBEGU TATU
KUNATOSHA KUMUUA MTU MZIMA. PLANT AND SOCIETY PP 355 UNIVERSITY
OF TURSA
NI KATIKA UTAFITI HUO AMBAPO HAWA HUAFIKIANA NA NGUVU ILIYOMO
NDANI YA MBEGU HII JUU YA MAMBO YA UZAZI. KULE INDIA WALIONA KUWA
KAMA MWANAMKE ATATAFUNA NYONYO MOJA MARA BAADA YA HEDHI
HAWEZI KUPATA MIMBA KWA KIPINDI CHA MWEZI HUO. MBEGU HII INA
NGUVU KUZUIA KUUA MTOTO. UZOEFU WETU HUKU AINA YA NYONYO HIYO
HUTUMIKA KATIKA KIPINDI HICHO CHA HATARI YA KUSHIKA MIMBA. UTAFITI
UNAONYESHA KUWA KATI YA WANAWAKE KUMI WANAOTUMIA MBEGU
MARA TU WAMALIZAPO HEDHI NI WATANO HUFAULU VIZURI BILA TATIZO
WALA HAWAPATI MIMBA, WANNE HAWAPATI KABISA NAYO, MMJOA HUPATA
MIMBA KWA KUWA ALITUMIA ILE DAWA KWA KUCHELEWA MUDA
UNAOTAKIWA.
USHAURI:
KWA KUWA UTAFITI JUU YA MBEGU HII UNAENDELEA ZAIDI KAMA
KUNAWEZA KUWA NA MADHARA YOYOTE YA KUDUMU BAADA YA
MATUMIZI YAKE,(INGAWA KWENYE MICHE MARA NYINGI HILO HUWA
HALITOKEI) NI BORA TIBA ZA JUZUIA MIMBA UKAACHANA NA HII YA
NYONYO ISIPOKUWA KWA WALE TU WALIOKWISHA KULITHIBITISHA,
MAANA UTAFITI UMEZIDI KUONYESHA KUWA SIO KILA NYONYO INASUMU
KALI HIVYO ISIPOKUWA ZILE NYEKUNDU, KWA WENGINE NI NGUMU
KUELEZEA MPAKA UONYESHWE, TUNAVYOFANYA PINDI TUNAPOTOA
SEMINA TUNAKUWA NAZO. Chanzo.MziziMkavu
Kwanini wewe unamuombea hiyo Dawa ya kuchelewa Ovulation? Si angelikuja yey mwenyewe? au unaomba wewe kiujanja tu? haya mwambie atumie hii dawa itamsaidia ( B-Complex Vitamin).Au pia awe na ( Stress) pia itamsaidia hiyo Postpone Ovulation.hii elimu nimeipata vizur sana doctor mzizi mkavu hili jukwaa safi sana tunaelimika sana na vizur sio had tukae darasan hili ni darasa tosha sasa mkuu nauliza hivi kuna dawa ya kupostpone ovulation?? Kuna mkuu humu ndani anaihitaji
Kwanini wewe unamuombea hiyo Dawa ya kuchelewa Ovulation? Si angelikuja yey mwenyewe? au unaomba wewe kiujanja tu? haya mwambie atumie hii dawa itamsaidia ( B-Complex Vitamin).Au pia awe na ( Stress) pia itamsaidia hiyo Postpone Ovulation.
Mkuu wewe mtu mbaya unataka kumuuwa huyu bibie? unamwambia ameze mbegu 3 za nyonyo khaa? wewe kweli mtu mbaya usitoe ushauri wa Pumba mkuu tafadhali utawauwa watu humu ndani.
Bibie MankaM uwe muangalifu kutumia hizo
mbegu za nyonyo ni Sumu unachotakiwa kila baada ya kumaliza hedhi ule mbegu moja ya nyonyo utaweza kukaa mwezi
mzima bila ya kushika mimba ukila mbegu 3 za nyonyo baada ya dakika 20 utafariki dunia usijaribu hata kidogo kula mbegu
za nyonyo zaidi ya moja Ushahidi huu hapa chini.
NYONYO MBEGU
UANGALIFU MKUBWA UTUMIKE KATIKA MATUMIZI YA NYONYO, HASA JUU
YA MBEGU ZAKE. KWA KAWAIDA HIZI MBEGU ZIMEWEKWA KATIKA KUNDI LA
SUMU. UZOEFU ULIOKUWEPO UNAONYESHA JINSI MBEGU HII YA NYONYO
INAVYOTIBU MAJIPU NA MATUMIZI MENGINE. HADI LEO TAFITI KADHAA
ZINASEMA JUU YA NYONYO KAMA TIBA YA MAJIPU, JAMBO HILI NI KWELI.
LAKINI IKIMKATAA MTU AU IKISHINDANA NAYE HULETEA KICHEFUCHEFU
SANA.
UTAFITI ULIOFANYIKA KULE TURSA UNIVERSITY UNAONYESHA NYONYO KUWA
KATIKA MIMEA YENYE SUMU TUNAYOPANDA MAJUMBANI. SUMU HII IPO
NDANI YA MBEGU TU, ILE HALI YAKE YA KUMCHEFUA MTUMIAJI NDIO KAMA
KUMWONGEZEA MATATIZO BADALA YA KUMTIBU. WANASEMA ILE MBEGU
IWE NI NYEUPE, NYEKUNDU AU KAHAWIA NA SUMU. UTAFUNAJI WA MBEGU
MOJA TU UNATOSHA KUMUUA MTOTO, NA KUTAFUNA MBEGU TATU
KUNATOSHA KUMUUA MTU MZIMA. PLANT AND SOCIETY PP 355 UNIVERSITY
OF TURSA
NI KATIKA UTAFITI HUO AMBAPO HAWA HUAFIKIANA NA NGUVU ILIYOMO
NDANI YA MBEGU HII JUU YA MAMBO YA UZAZI. KULE INDIA WALIONA KUWA
KAMA MWANAMKE ATATAFUNA NYONYO MOJA MARA BAADA YA HEDHI
HAWEZI KUPATA MIMBA KWA KIPINDI CHA MWEZI HUO. MBEGU HII INA
NGUVU KUZUIA KUUA MTOTO. UZOEFU WETU HUKU AINA YA NYONYO HIYO
HUTUMIKA KATIKA KIPINDI HICHO CHA HATARI YA KUSHIKA MIMBA. UTAFITI
UNAONYESHA KUWA KATI YA WANAWAKE KUMI WANAOTUMIA MBEGU
MARA TU WAMALIZAPO HEDHI NI WATANO HUFAULU VIZURI BILA TATIZO
WALA HAWAPATI MIMBA, WANNE HAWAPATI KABISA NAYO, MMJOA HUPATA
MIMBA KWA KUWA ALITUMIA ILE DAWA KWA KUCHELEWA MUDA
UNAOTAKIWA.
USHAURI:
KWA KUWA UTAFITI JUU YA MBEGU HII UNAENDELEA ZAIDI KAMA
KUNAWEZA KUWA NA MADHARA YOYOTE YA KUDUMU BAADA YA
MATUMIZI YAKE,(INGAWA KWENYE MICHE MARA NYINGI HILO HUWA
HALITOKEI) NI BORA TIBA ZA JUZUIA MIMBA UKAACHANA NA HII YA
NYONYO ISIPOKUWA KWA WALE TU WALIOKWISHA KULITHIBITISHA,
MAANA UTAFITI UMEZIDI KUONYESHA KUWA SIO KILA NYONYO INASUMU
KALI HIVYO ISIPOKUWA ZILE NYEKUNDU, KWA WENGINE NI NGUMU
KUELEZEA MPAKA UONYESHWE, TUNAVYOFANYA PINDI TUNAPOTOA
SEMINA TUNAKUWA NAZO. Chanzo.MziziMkavu
Kama upo mjini Dares-Salaam nitumie PM nitakupa namba ya dada yangu utawasiliana nae huyo dada yangu atakupeleka kwa bibi mmoja anatibu hayo matatizo ya mwanamke kutopata mimba na ukitumia dawa zake za mitishamba tu utashika mimba inshallah kama kweli upo serious fanya hivyo.nimetega mpk waleo naona mie ndio nategeka
mie natamani mchana na usiku hata hiyo mimba iingie ....
Mwee 2badilishane nkupe kizaz changu ad ntapokihitaji