Kuzuia mtu kukupigia simu

Wakubwa asanteni kwa mchango wenu ngoja nijaribu then nitarudi.
Mkuu nokia 6300 sio symbian phone, hizo apps ulizopewa zote ni kwa symbian. simu yako haina uwezo wa ubeba apps za huduma hiyo. kama una wasaa jivute kidogo hadi kwenye nokia n70 hizi zinaweza.
 
Poa wakubwa kwa michango yenu yote nimefurah kweli,ingawa sijafanikiwa kwa sababu kama bin mgen alivyosema app zote hapo juu ni kwa ajili ya symbian phone na cmu yangu haina uwezo wa hzo app,bt natumaini kuna wengne wamefaidika na app hzo
wakubwa barikiweni.
 
Call Blocker Pro for BlackBerry

Call Blocker Pro has grown to be one of my favorite and most used apps. Sometimes, one cannot be bothered with phone calls. Whether you are in an important business meeting, spending quality time with the family, on vacation, or just simply trying to avoiding that "crazy ex" that just keeps blowing up your phone--Call Blocker Pro is the perfect app you! Keep reading for my full review

Features


  • Pick up and hang up on the caller, or send them to voicemail
  • Extremely quick blocking and efficient operation through integration with the Options screen icon to show you the current mode (Enabled or Disabled)
  • Comprehensive bulk blocking options--private numbers, unknown numbers, numbers not in your contacts, or even ALL numbers for privacy
  • Easily add numbers from your call logs or contact list, or by entering by hand
  • Block entire area codes (800, 866, etc)
  • Automatically send customized SMS to blocked callers letting them know that you are busy
  • Timer Mode allows you to automatically enable/disable itself at designated times
  • Block calls even on call waiting
  • Works while locked or holstered
  • Whitelist to allow for certain callers to always get through
  • Back up and restore your settings to avoid ever having to re-enter numbers
  • Fully customizable to fit your needs

How I Use/Benefits of this app



Scenario #1:

I personally have used Call Blocker Pro to block incoming calls from disturbing important business meetings, while simultaneously sending out a notification/text to the blocked caller that "I'm currently in a meeting, however, I'll get back to you shortly..."

Scenario #2:

Throughout my travels I have met some of the most wonderful people, however every once in a while you may come across someone that you later regretted giving your number to. Call Blocker Pro is an excellent way to avoid receiving calls without having to be rude and telling the caller to "stop calling" or "please loose my number!"

Scenario #3:

Ever been to a bar and had one to many Camparis...and gave your number to "the wrong person?" (...and yes! It also happens here in the States, except for that whole Campari thing...sorry Kevin...Lol). Here is where an investment in Call Blocker Pro can save you that uncomfortable conversation with that person you "met at the club." Or maybe he/she just doesn't get the hint when you haven't answered their numerous calls...Call Blocker Pro is the perfect tool to solve your social woes!

Price/Installation

Call Blocker Pro is currently on sale now at ShopCrackBerry.com for $2.99. This app takes up 59 KB, and requires device software 4.3.0 or higher.




Pros/Cons

Pros:

  • Feature rich with quick call blocking
  • Customizable text message sent to blocked caller
  • Customizable "Black" and "White" List
  • Bulk Blocking Options (ie. Unknown, Private, Not In Contact #s)
  • Home screen display option: ENABLED or DISABLED
  • Efficient operation via integration w/ Options screen
Cons:

  • Managed Block List is wiped out once a Bulk Blocking selection is made
  • Contact description (ie. home, work, mobile) not shown when selecting #'s for the Managed Block List
Source: Review: Call Blocker Pro for BlackBerry | CrackBerry.com
 
na simu aina ya SAMSUNG 5212 inawezekana kabisa. Ina option ya REJECT LIST ambayo unaweza kuweka namba ya simu uanyotaka isikupate wakati uko hewani
 
mkuu inawezekana ila walivyotangulia wenzangu inategemea na aina ya cm pia kuna program nyingi mpaka za kurekodi mazungumzo yote na msg kuzuia cm na msg uczotaka mfano na2mia samsung kama ctaki unipigie au unisms nakuadd tu ukipiga nitaona missed call
 
Wadau mambo vp?
Naomba kuuliza eti kuna uwezekano wa mtu kuzuia kama hautaki mtu akupate kwenye hewani lakini wewe unakuwa hewani fresh na watu wengine wanakupata kama kawaida? Kuna kitu kama hcho?

ukiwa na samsumg latest model ina option ya add to reject list. ukiingiza namba kwenye reject list kila mara huyo mwenye namba hiyo akikupigia atapata busy tone na simu yako wala haitashtuka kuwa kuna mtu anakupigia. hata kwenye sms setting you just add the number to be rejected.
 
Poa wakubwa mm yangu ni Nokia 6300
 
Yangu ni nokia 6300 inaweza ikawezekana?
Kuhusu unscreened c mtu akikupigia c inakuwa inaita bt haitoi mlio?

There's no way to directly block a caller with the features available on the Nokia 6300 wireless phone, but there are alternatives if you live in the United States.
 
There's no way to directly block a caller with the features available on the Nokia 6300 wireless phone, but there are alternatives if you live in the United States.

kwa cm hyo mpaka adanlouad program ngoja nimtafutie zipo za free unaiweka unaweza kufanya yote hayo
 
sasa ukitaka kumwondoa kwenye reject call unafanyaje?
hii option siyo nzuri kwakua simu inaita na baadae inaonekana imekuwa rejected na hivyo aliyepiga anaweza kuanzisha bifu kuwa unakata simu yake. nashauri option hiyo asiitumie.
 
Mkuu kuna software nyingi kulingana na aina ya simu yako,kwa mfano nokia symbian waweza kutumia Advanced Call Manager na Iphone tumia Black List..simu za sony ericsson na Samsung zina built in feature kwa kumanage few contacts lakini sio wide customizable kama hizo nilizokutajia hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…