Kuzuiliwa mshahara

Kuzuiliwa mshahara

JamboJema

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
1,143
Reaction score
209
Nimeiona hali ya kuzuia mshahara ikiwakumba hasa waalimu wa shule za msingi kwa visingizio mbalimbali kama kutokuandaa azimio au andalio la kazi. Mwalimu Mkuu hutaarifu nia ya kuzuia mshahara wa mwalimu husika na DEO hufanya huo uzuiaji kwa support ya DED kupitia Afisa Utumishi wa Halmashauri husika.
Naomba kujuzwa sheria inayoruhusu haki hii ya mtumishi kuchezewa namna hii. Expecting much enlightment from you GT's.
 
Back
Top Bottom