Kuzuiwa na polisi kwa mkutano wa wanachama wa Simba, ni mpango wa Yanga na sio Mangungu

Kuzuiwa na polisi kwa mkutano wa wanachama wa Simba, ni mpango wa Yanga na sio Mangungu

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Kuna namna wanahitaji kuendelea kutawala soka la Tanzania kwa msimu mwingine na hivyo wanafurahia sintofahamu hii hasa kipindi hiki cha usajili.

Tunawafahamu polisi mashabiki wa yanga lakini pia tunafahamu jinsi wanasiasa walio madarakani wanavyojaribu kuitumia Simba kutimiza ndoto za marafiki zao kisiasa.

Ukweli polisi hawakuwa na sababu ya kuzuia mkutano wa wanachama wa Simba kwani hiyo ndiyo ilikuwa njia ya kujaribu kutatua changamoto zilizopo kuliko kuwaachia viongozi ambao ndio tatizo haswa.
Unakuwa na mwenyekiti mjeuri na mwenye majibu ya kashfa kwa waliompigia kura, unakuwa na wajumbe wa bodi wapuuzi wanasema wanataka kuuweka vizuri mfumo huku kwa miaka mitatu walikuwemo kwenye mfumo wakitumikia bila kufanya chochote huku wakijua kuna tatizo.

Siafiki kabisa kusema eti Mangungo hakuwa na nguvu ya maamuzi kwa hiyo eti anaonewa. Kusema kweli huko ndio kunahalalisha kutokufaa kwake kwa kuwa kama aliona kuna tatizo kwa nini hakuliweka wazi na badala yake alianzisha majungu na wachambuzi fulani fulani ambao kusema kweli huenda ndio wanafaidika sana na migogoro ya Simba.

Ukiona mchezaji kama Jobe amepewa mkataba mrefu ukijiuliza alivyopatikana unaweza kukuta kuna watu wajinga kama akina dauda wanahusika.

Natoa rai kwa hawa viongozi wa polisi wanaotumika, wasiingilie mambo ya kiraia kwa nia ya kuipendelea club wanayoishabikia
 
Mpaka hapo mnaonesha ni jinsi gani viongozi wa timu yenu hawana weledi kwenye kazi yao

Taasisi yenye akili timamu haiwezi kuvurugiwa mipango yake na taasisi nyingine ambayo haina mamlaka kisheria juu yao (Yanga)

Nendeni mjipange kisha mrudi tena..!🤸
 
Kuna namna wanahitaji kuendelea kutawala soka la Tanzania kwa msimu mwingine na hivyo wanafurahia sintofahamu hii hasa kipindi hiki cha usajili.

Tunawafahamu polisi mashabiki wa yanga lakini pia tunafahamu jinsi wanasiasa walio madarakani wanavyojaribu kuitumia Simba kutimiza ndoto za marafiki zao kisiasa.

Ukweli polisi hawakuwa na sababu ya kuzuia mkutano wa wanachama wa Simba kwani hiyo ndiyo ilikuwa njia ya kujaribu kutatua changamoto zilizopo kuliko kuwaachia viongozi ambao ndio tatizo haswa.
Unakuwa na mwenyekiti mjeuri na mwenye majibu ya kashfa kwa waliompigia kura,unakuwa na wajumbe wa bodi wapuuzi wanasema wanataka kuuweka vizuri mfumo huku kwa miaka mitatu walikuwemo kwenye mfumo wakitumikia bila kufanya chochote huku wakijua kuna tatizo.

Siafiki kabisa kusema eti mangungo hakuwa na nguvu ya maamuzi kwa hiyo eti anaonewa.Kusema kweli huko ndio kunahalalisha kutokufaa kwake kwa kuwa kama aliona kuna tatizo kwa nini hakuliweka wazi na badala yake alianzisha majungu na wachambuzi fulani fulani ambao kusema kweli huuenda ndio wanafaidika sana na migogoro ya Simba.
Ukiona mchezaji kama Jobe amepewa mkataba mrefu ukijiuliza alivyopatikana unaweza kukuta kuna watu wajinga kama akina dauda wanahusika.

Natoa rai kwa hawa viongozi wa polisi wanaotumika,wasiingilie mambo ya kiraia kwa nia ya kuipendelea club wanayoishabikia
Kweli mashabiki wa Simba ni mbumbumbu badala ya kutatua changamoto zilizopo mnatafuta majini,(mchawi), kwasasa wanachama wa Simba hamna maamuzi na timu yenu mwenye maamuzi ni aliye inunua timu yaani mnaye muita Rais wa heshima(muwekezaji), mnataka muambiwe mara ngani ili fuvu lifanye kazi, tumekuwa tukizitumia codes hamzielewi duuu
 
Nyie si mnaamini Yanga inaendeshwa na majini, endeleeni hivyohivyo sie tunautafuta ubingwa wa nne mtawalia.
 
boss Mo:Angungu na ile ingine naitwa Magoi ambia mimi nipatia wao biioni boja walete chezaji toka Arsenal.
dinakawauliza huyu Sawafogo mlieleta imecheza Arsenal?,Angungu akadijibu Sawadogo ana undugu na Bokayo xaka.
 
Mnataka kuhalalisha maneno ya Mwina Kaduguda ili Yanga watutukane humu? Hao walioandika barua ya Mkutano Wana mandate gani kikatiba?
 
Back
Top Bottom