God bless you COMPAQ - endelea kukemea maovu yanayofanywa hata kwa maneno ya mtu. Mara nyingi sana kitu kiujazacho moyo wa mwanadamu ndicho kimtokacho mdomoni mwke.
Imefika wakati moderators kuangalia issue za kujadili - Ngono itasaidia nini katika maisha ya mwanadamu?? Tendo la Ndoa ni kitu cha heshima sana kati ya mume na mke - wengine wanaona ndio maendeleo - bahati mbaya sana.
Tujadili zaidi jinsi ya kuwasaidia watu waepukane na hizi ngono zembe, unyanyasaji wa kijinsia na kuongelea vibaya wanawake - they are our mothers - sisters - anties - wives etc. - tusiwaone kama items/things/vessels - .... whatever .......
Nawasilisha!