Kuzungusha kupiga game

Lazima wa pretend ili waonekane wa ghali!!

Nothing to pretend,jamani hata wanyama achilia mbali binadamu wanafanya courtship rituals.
Sasa hizi habari za kurefer watu "USED" kwakweli si vizuri,tuwe na respect both ways.
 
mzee wa konooooz😀
 
Hivi kuna umuhimu gani kwa wadada kuzungusha kupiga game mara baada ya kutongozwa wakati wote ni (USED) yaani wote mlishawahi kufanya mapenzi.
used ndio yenyewe mkuu,mkikutana hakuna darasa ni perfomance mwanzo mwisho,we huwa unazungushwaga mkuu??labda haulipi,wengine ni touch and paste hayo mambo kuzungushana ya kizamani.
 
m.mke sharti aringie mali yake babu weeeee! we unataka kirahisi rahisi tu? sharti ukisotee kwanza ndiyo ujue utamu wake.....
pape we ni he au she?sasa naanza kumuunga mkono the boss.
 
mijitu mingine .....mscheeeeeeeeeeewww kakosa kazi huyu
 
Ndo maana siku ya kuipata unatandika kwelikweli kulipizia machungu ya kuzungushwa
 
Yaani kila unaemuomba unataka akupatie umchezee....Unatafauti gani na jogoo ?
 
U r damn right about that thing in red ila mimi kinachoniudhi ni tabia ya baadhi ya wanawake wenyewe ambao kwa kweli wanaturudisha nyuma sana katika hii vita ya kumtoa mwanamke kwenye hadhi ya bidhaa kwenda kwenye hadhi ya utu. Unajua kuna vitu vingi sana vinaendelea ambavyo vinamfanya mwanamke aonekane kama bidhaa, We hebu jiulize kama linalotangazwa ni gari kuna haja gani ya kuwa na msichana aliye nusu uchi pembeni yake.....Tafakari.
 
m.mke sharti aringie mali yake babu weeeee! we unataka kirahisi rahisi tu? sharti ukisotee kwanza ndiyo ujue utamu wake.....
Nimekugongea senski mzee. Njoo ugombee udiwani kwenye kata yetu lazma nikupigie debe wewe.
 
Kaka "tamu ya bazoka mate yako" na "raha ya goli ni chenga" mkulu, je unataka upige goli bila kupiga chenga hutaona utamu wake.Ila take care kwani "Majuto ni mjukuu, huja baada ya kitendo".
 
Hivi kuna umuhimu gani kwa wadada kuzungusha kupiga game mara baada ya kutongozwa wakati wote ni (USED) yaani wote mlishawahi kufanya mapenzi.

Wewe mwenyewe ni used unataka brand new kwanini?.... HAO wanaokuzungusha hawataki used wanasubiri new.
 
Hivi kuna umuhimu gani kwa wadada kuzungusha kupiga game mara baada ya kutongozwa wakati wote ni (USED) yaani wote mlishawahi kufanya mapenzi.

Inaelekea huthamini wanawake, kwako wewe ni chombo cha starehe tu.
 
Hivi kuna umuhimu gani kwa wadada kuzungusha kupiga game mara baada ya kutongozwa wakati wote ni (USED) yaani wote mlishawahi kufanya mapenzi.

Mbaya zaidi ukimega halafu ukute hakijaiva au hakina radha
 
kwa vile wakwako ulimkuta used,unajustfy kwamba wote ni used!....wewe huwa unafanya mapenzi na wahudumu wa bar?
kuna bar maid mmoja nilimwomba game Meeda Sinza akasema ana boy friend nilishangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…