Kuzuru kwa Rais Samia Kremlin, kubadili Siasa, vyama vya siasa, Uchumi, Ulinzi na Usalama


Kama nchi ni ujinga ujinga tu. Ni sawa na watu wababaishaji kukaa kijiweni na kutegemea maendeleo. Russia haiwezi kuleta chochote cha Maana kwenye mifumo ambayo inajali watu na ubinafsi kuliko mfumo. Una chmsha sana Dogo
 

Je tupo tayari kunyakua fursa badala ya kutafuta huruma ya Russia, Marekani, China na EU ?

May 2026

Fursa Mpya: Sera ya ushuru sifuri ya China ni ipi?


View: https://m.youtube.com/watch?v=XSuQpKXeB0cRamah Nyang wa CGTN Afrika anafafanua kwa kina fursa mpya kupitia sera ya ushuru sifuri ya China na athari zake kwa uchumi wa Afrika, akiangazia jinsi kuondolewa kwa ushuru kwa uagizaji kutoka nchi 53 kunatarajiwa kuongeza mauzo ya nje, haswa bidhaa za kilimo, huku ikisaidia kupunguza usawa (balance of trade) wa kibiashara unaoongezeka.

Mchambuzi pia anatathmini kama mataifa ya Afrika yanaweza kutumia fursa hii kuongeza maradiufu mnyororo wa thamani na kugeuza ufikiaji mpana wa soko la China unaochochea ukuaji endelevu wa uchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…