R reen elius em Member Joined May 17, 2014 Posts 56 Reaction score 5 Jul 5, 2014 #1 Habari ndugu zanguni,naomba mnishauri kwa mtaji wa 150000 naeza kufanya biashara gani?
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,486 Reaction score 51,156 Jul 5, 2014 #2 Upo wapi?umeweza kuangalia kitu pungufu katika eneo lako? reen elius em said: Habari ndugu zanguni,naomba mnishauri kwa mtaji wa 150000 naeza kufanya biashara gani? Click to expand...
Upo wapi?umeweza kuangalia kitu pungufu katika eneo lako? reen elius em said: Habari ndugu zanguni,naomba mnishauri kwa mtaji wa 150000 naeza kufanya biashara gani? Click to expand...
John mungo JF-Expert Member Joined Dec 8, 2013 Posts 1,008 Reaction score 1,028 Jul 5, 2014 #3 dah labda ndugu uanzishe biashara ya kuuza matunda kwa mko10 au anza kuuza karanga sigara biskut na pipi hii itakusaidia kupata sent
dah labda ndugu uanzishe biashara ya kuuza matunda kwa mko10 au anza kuuza karanga sigara biskut na pipi hii itakusaidia kupata sent