kwa 1st year UDSM shule kuu ya biashara.

kwa 1st year UDSM shule kuu ya biashara.

naslat

Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
10
Reaction score
1
kwa yyt mwenye aliyepangiwa udsm shulekuu ya biashara ambae ana jambo linalo mtatiza b free kuuliza ili tusaidiane kupeana maelezo.
 
usiseme UDSM coz hata MUCE na MUCE n udsm sema main campus udsm
 
MUCE na DUCE ni college za udsm hata transcripts na vyeti vyao vimeandikwa udsm na wanavifwata pale mlimani, nakushangaa unavyowananga ilihali huelewi mambo


kwaiyo wa MUCE mkiulizwa mnasoma chuo gan mnasema UDSM?? MAJANGAAAAAAAAAAcha kata au?
 
Back
Top Bottom