Aseee mlioenda yombo, mtujuze yaliyojiri huko,
Uwe na hamu na chuo kwa mazuri si kwa nia ya kwenda kufanya mambo ya ajabu mpendwa,maana utajuta kwakweliAsante,nitaenda jumatatu,nina hamu na chuo mimi jaman.
1.ni option ama ni lazima??
2.yombo pande ipi??
Kauliza course work ni nn unamzungusha na mambo meengi mpe jibu 1 la kueleweka.
Uwe na hamu na chuo kwa mazuri si kwa nia ya kwenda kufanya mambo ya ajabu mpendwa,maana utajuta kwakweli
Yombo ni temeke
Yap mkuu najua fika kuwa yombo ni pande ya TMK, but the exact location ndio shida....
kalipeni do you need some cash ili kupata hiyo admission letter na kupigwa passport...,?
haiitajiki pesa yoyote and be care yombo sio temeke,kuna hall lipo palepale chuo linaitwa yombo.
fika adi nkurumah hall utaonyeshwa sio mbali na mitaa iyo.
Admission letter zipo kwenye mitandao achana na analogia watu wapo digital