Udsm nimeshuhudia watu washamba,cjui walikua hawajawahi kukanyaga town katka maisha yao yote au vp!
kwa hapa makumira hakuna usumbufu saaana ila rooom ndo mishe bu mimi binafsi sha maliza kila kitu kwa amani ya bwana
Nachukua nafasi hii kwanza kuwapongeza kwa kuchaguliwa, kufika, kusajiliwa na hatimaye kuanza masomo katika vyuo vikuu mbalimbali Tanzania.
Ni(tu)naomba mtupe mrejesho wa visa, mikasa, usumbufu, vituko, majanga na mliyoyapata ama kuyashuhudia katika harakati za kuripoti kwenu ili iwe changamoto ambazo mwisho wa siku zitatupa uzoefu ambao wakati mwingine vijana we(tu)nzetu watatumia ili kuchukua tahadhari mapema.
Naomba kuwasilisha nikitegemea kupata michango jengefu kutoka kwenu. Masomo mema.
wachaga wanataka watajirikie kwa wanafunzi wa mwenge