Kwa "1st years" wa universities zote tz: Tunaomba mrejesho kutoka katika vyuo vyenu!

komaa wewe mbona si tumeishi miaka bila boom hafu tupo,ukilia njaa sasa tutakupoteza.
 
Duuh SUA leo ndo welcome first year karbun party inaanza saa1 mpk majogoooo' sema yeyooooo,
 
Welcome first year inaanza saa1 jion had majogooo, karbun bandg'
 
Hapa UDOM n mishe za kulipa ada ya muhula wa kwanza na direct cost, utaratibu haujawa mzur coz bank znafnguliwa kwa mda mchache c mnajua n weekend, na kuna watu hawajui cha kufanya coz wamekuta wanatakiwa kulipa ada kubwa kuliko walvyotegemea, na husajiliwi mpaka ulipe. Mm nmemalza regstrtn nipo ktandan kwangu.
 
A.S.P SAMITI NIMEFIKA MUCCoBS JANA,MPAKA SASA HOSTEL ZA NDANI YA CHUO NIMEKOSA SASA ITABIDI NIENDE NJE YA CHUO ,MUCCoBS NI PAZURI SANA MAZINGIRA YA KUSOMEA NI MAZURI SANA KWA MTU ANAYEPENDA KUSOMA
 
Hapa CBE Dar nshamaliza usajiri, hostel za ndani nimekosa! So nasaka kitaa na sina boom ntaweza?
 
SAUT mwendo wa rocket, speed 350, haturembi, HAKUNAGA WELCOME FIRST YEAR WALA KUJUANA, ni kitabu mwanzo mwisho
 
UDOM ndo kwanza orientation inaendelea,next week kitabu mwanzo mwisho
 
Yan hapa saut 2nakaribia kujaza kaunta books mana hii week ya tatu darasani
 
Udom upepo sana,hostel za kutosha na ukichelewa adhabu yako utakaa chumba kizima mwenyewe,leo ni orientation course,inshort dom pazuri for book
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…