Udom upepo sana,hostel za kutosha na ukichelewa adhabu yako utakaa chumba kizima mwenyewe,leo ni orientation course,inshort dom pazuri for book
SAUT mwendo wa rocket, speed 350, haturembi, HAKUNAGA WELCOME FIRST YEAR WALA KUJUANA, ni kitabu mwanzo mwisho
kijana mwisho wako nauona..
Yan hapa saut 2nakaribia kujaza kaunta books mana hii week ya tatu darasani
SAUT mwendo wa rocket, speed 350, haturembi, HAKUNAGA WELCOME FIRST YEAR WALA KUJUANA, ni kitabu mwanzo mwisho
na ni anakusema mkuu?
kama wew ni limbukeni baki kuwa hivyo kama ukupata dem chuoni unategemea utampata wakat gani? cc tumesoma na tulikuwa na madem na tumaliza tena tumefanya vzuri na huyo huyo ndo tumeoa inategemea umejipanga vipi kaka,unasubiri umalize chuo na uanze kutafuta mwanamke ndyo maana ndoa za cku hiz azidumupengine utamsaidia kubeba makarai
Yan hapa saut 2nakaribia kujaza kaunta books mana hii week ya tatu darasani
Teh teh teh, wamekupa juu ghorofani rum yako nini? naona umeifurahia sana hiyo adhabu. angalia, kipindi cha kula karanga tupu kikifika usije ukaruka toka huko ghorofa ya nne
Hapa UDOM n mishe za kulipa ada ya muhula wa kwanza na direct cost, utaratibu haujawa mzur coz bank znafnguliwa kwa mda mchache c mnajua n weekend, na kuna watu hawajui cha kufanya coz wamekuta wanatakiwa kulipa ada kubwa kuliko walvyotegemea, na husajiliwi mpaka ulipe. Mm nmemalza regstrtn nipo ktandan kwangu.
hata mimi japo siko sua nimeuona huo mwisho
Yan hapa saut 2nakaribia kujaza kaunta books mana hii week ya tatu darasani
Udom upepo sana,hostel za kutosha na ukichelewa adhabu yako utakaa chumba kizima mwenyewe,leo ni orientation course,inshort dom pazuri for book
Kiongozi nilikuomba ununganishe na yule mtu wako anayesoma Japan. Yaani mshkaji ukujibu PM yangu toka april. Ni PM basi.