Kwa aina hii ya muziki, Aliyemshauri Diamond kugeukia biashara ya karanga alimsaidia

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Habari wakuu!
Narudi tena! kama kawaida yangu yangu simungunyi maneno time diamond mtanisamehe ingawa hata Mimi ni timu diamond
Kiukweli kwa aina hii ya muziki, Diamond gemu hii imemshinda. Nahisi aliyemshauri kugeukia biashara ya karanga amemsaidia sana na napenda nimtie moyo aelekeze nguvu hukohuko ili acheki hali itakuwaje.

nawasilisha
 
Hajashindwa alipanda akapalilia akavuna sasa anakula... Mchumia juani hulia kivulini

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Hajashindwa alipanda akapalilia akavuna sasa anakula... Mchumia juani hulia kivulini

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app

bora aendeleee kula alichovuna maana kama ni mziki wenyewe umemshinda
 
Kampeni yako wewe nyepesi sana tena sana,halafu HAITOWAFIKIA WATU WENGI KAMA WENZAKO AMBAO WAMEAMUA KUTOKUPIGA NYIMBO ZAKE,LAKINI KABAKI KUWA NDIO MSANII ANAYEFANYA VIZURI TZ NA E.A KWA UJUMLA.
Utaingia hapa kudhibitisha hilo. ANGALIA ZAIDI WASANII AMBAO NI MOST SUBSCRIBED.HATA HARMONIZE NA RAYVANNY WAMEMPITA KIBA WAKO.
Top 100 YouTubers in Tanzania sorted by Subscribers - Socialblade YouTube Stats | YouTube Statistics
 
Mameneja wako ndio wakulaumiwa. Dogo hana elimu. Zaidi ya kipaji. Sijawah ona mameneja karibu watatu. Upeo mdogo. Dogo hapumziki hata miezi sita katoa wimbo. Jamii inakuzoea na kukuchoka pia. Angalia wasanii wa nje. Hawatoi nyimbo hovyo. Nabado wanamafanikio. Sijui wanamziki wa bongo. Wanahitaj mameneja wenye vigezo gani... Wanachangia kuwapoteza wasanii

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana unapenda apotee ww!!
Hujasema mziki wake una nini sasa hv,na kama kuna tatzo mshauri afanye nn.

Philips X2560
 
Taja huyo msanii mwenye UPEO AMBAYE KAMPITA MONDI,kwa kulinganisha muda wake kwenye muziki na hao utakaonitajia ........ ??
 

to a ujinga wako hapa! unatuletea manyimbo yake ya zamani, wakati sisi tunazungumzia current songs. harafu kuwa na viewers wengi siyo sababu ya kusema muziki wako unakubalika. some time watu wanaingia kuangalia msanii alichoimba kama kiko poa au la
 
[emoji1] [emoji1]
to a ujinga wako hapa! unatuletea manyimbo yake ya zamani, wakati sisi tunazungumzia current songs. harafu kuwa na viewers wengi siyo sababu ya kusema muziki wako unakubalika. some time watu wanaingia kuangalia msanii alichoimba kama kiko poa au la


Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…