Kwa aina hii ya muziki, Aliyemshauri Diamond kugeukia biashara ya karanga alimsaidia

Ungejua izo nyimbo zake zinavyohit kitaaa kwetu ungempigia salut Mondi
 
Kwa thread hizi za kila siku, inaonesha bado mondi anakimbiza. Siku jina lake likipotea midomoni mwa watu nitaamini hizi porojo za vijiweni na wivu wa kishamba.
Madukani karanga zinanunulika balaa ukija redioni nyimbo zinapigwa balaa. Aiseeeee mondi kiboko

Mrs Van
 
Mleta uzi yaweza kuwa wewe ni Chizi fresh ..

Sent from my SM-N9200 using JamiiForums mobile app
 

No! Miezi sita unasahaulika mzee Baba. Utakuta mwenzako keshakamatia usukani
 
Wivu Ni kidonda, ukishiriki utakonda. Sikujui mtoa mada lkn unaweza kuta unaishi nyumba ya kupanga hata gar unayotumia haizidi mil 5. Maajabu unataka kupambana na mondi......Mungu akupe heri...
 
Kapige wewe basi tusikie

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Usengr huu tumeuchoka sasa...
 
Ngoma 3zote zimebuma mpaka zingine zina majina ya kinigeria eti eneka

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
No! Miezi sita unasahaulika mzee Baba. Utakuta mwenzako keshakamatia usukani
Hpo ndio huwa ananishangaza sana Ally anaweza kaa mwaka akasurvive na kanyimbo kamoja tu ama asitoe kabsaaaaa na bdo akawa gumzo cjui kanajiamini nn kle kajamaa wasanii wengi huogopa kukaa kmya jpo miezi 6 tu mm binafsi ni shabiki yke ila ananikera sana jinsi alivyo slow slow hajali yaani hana wcwc connection alizowahi kutana nazo angezipata Nassib cjui leo hii tungemuokotea wp mda huu Nassib yko fast sana akishaona kwamba hii ni fursa!

Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
 
mr niceeeeeeeeeeeeeeeeee
Biashar jmn ndo ivo bt diamond anauza karanga miatatu lkn bakresa juice yak nyngn ni mia mbili lkn halingn NA ww unaeandka uku mtandaoni cz NA kwa biashar Ya hela hiyo anaowafnykz anaowalipa million kwa juice Ya miatano tu tumien akili

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Pengine anatakiwa a-renew contract na wakubwa wa dunia!
 
mondi kimbiza baba kimbizaaa,mondi kama maji tu usipo oga utaoshea ama utakunywa kama si kupikia babaaaà.Pigapigaaaaaa sa hivi wanamtafuta kiba kwa tochi walau wamuone,kumbe mwenzao kishaona anatumia hela nyingi majibu finyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…