Kwa aina hii ya muziki, Aliyemshauri Diamond kugeukia biashara ya karanga alimsaidia

Hujui hata kuandika, afu unataka kumkosoa Diamond!!!!!!!! Unaishi kwa shemeji yako, afu unajidai kumkosoa mtu aliyekuzidi kwa kila kitu
Hakosoi kwa fact huyu mtu

Ukisema diamond sio msanii bora toa na sababu za msingi, sio hisia zako binafsi.
 
Ndio vizuri kumpata mtu "hasiyejua kitu" ili umueleweshe,sitoenda kulala bila kujibu maswali yangu,jibu kwanza maswali yangu (na kama huwezi kujibu hoja usiwe unaanzisha mada za hovyo)
Akijibu nitag!
 
Well said bro
 
Naseeb yuko chap na fast minded ndio maisha ya sasa yanataka hivyo, miezi 6 hujatoa nyimba watu wakukumbuke kwa lipi? Wakati kilichofanya watu wakutambue ni muziki? Wacha maneno weka muziki.
 
Ukitaka kuona watu wenye mahaba ya dhati kwa naseeb basi katika thread hizi za kumkosoa.

Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
 
Inaumiza sana kuona mtu ana nyimbo tatu zinatamba kwa pamoja WAKATI MWINGINE ANAFANYA NYIMBO MOJA ZAIDI YA MARA TATU i mean aje remix

Post sent using JamiiForums mobile app
Akiwa nominated anashangilia...akikosa tuzo anasema sifanyi mziki kwa ajili ya tuzo!
 
Juzi kachukua tuzo ya sound city. Kwel mziki umemshinda. Na ndio msanii anayeongoza hapa Africa mashariki. Kama yy kashndwa wengne watafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…