GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Uko sahihi tena kwa 100% na kama hii Leo tu wakiwa wanafanya Mazoezi yao ya Ushangiliaji nje ya Kujazana Uwanjani ila Wote Sura zao zilikuwa zimekasirika wakionyesha Wameamua, Wamedhamiria na hawana Masihara je, hiyo Siku ya Mechi husika itakuwaje hapo ( pale ) Uwanjani?Wameyakanyaga..aliewashauri wafanye figisu za kumwagia maji mwarabu kakosea sanaa..kule watapigwa kama ngoma ya mdumange
Tuliwaambia waje wapate moral lesson namna ya kuchecha haya mashindano ya kimataifa nje na ndani ya uwanja....wao wanaamua kumwaga maji kama brthday za boarding schools...acha wakakutane nachoUko sahihi tena kwa 100% na kama hii Leo tu wakiwa wanafanya Mazoezi yao ya Ushangiliaji nje ya Kujazana Uwanjani ila Wote Sura zao zilikuwa zimekasirika wakionyesha Wameamua, Wamedhamiria na hawana Masihara je, hiyo Siku ya Mechi husika itakuwaje hapo ( pale ) Uwanjani?
Kudadadeki......!!!!!!
utaehuka kwa ajili ya kuisakana yangaTuliwaambia waje wapate moral lesson namna ya kuchecha haya mashindano ya kimataifa nje na ndani ya uwanja....wao wanaamua kumwaga maji kama brthday za boarding schools...acha wakakutane nacho
REVENGE HAS NO MERCY Kudadadeki!KISASI HAKINA HURUMA
#YallaAfricain
Kama Wewe Ulivyowehuka na Matokeo.utaehuka kwa ajili ya kuisakana yanga
Mimi shida yangu ni kwa nini Prof. Nabi hakumpanga Mayele kwenye mechi ya juzi? Huyu mwamba angecheza asingekosa kutetema hata mara nne na, ninaamini, kwa ushindi huo, Hersi asingetuita sisi mashabiki wa uto kindakinda 'wala mihogo'~ Kwanza muanze kujua kuwa uwanja wao utajaa ile mbaya.
~ Pili mjue kuwa Waarabu fujo na umafia ni moja ya tunu zao.
~ Tatu aina tu ya ushangiliaji wao tayari ni ushindi tosha.
Yaani wamewapania hadi kuandika kuwa "Revenge has no Mercy".
Mtawakoma!
Mimi shida yangu ni kwa nini Prof. Nabi hakumpanga Mayele kwenye mechi ya juzi? Huyu mwamba angecheza asingekosa kutetema hata mara nne na, ninaamini, kwa ushindi huo, Hersi asingetuita sisi mashabiki wa uto kindakinda 'wala mihogo'
Sasa mbona Unalia na Kutia Huruma?Yanga inatambua kama mpira wa Afrika unafigisu na Yanga iko tayari Kwa figisu zozote hakuna mchezaji wa Yanga anayetokea Ulaya au mgeni wa soka la Afrika.
Tusipofanyiwa figisu atasisi tutashangaa, Kwaiyo ndugu Mbumbumbu ilo Swala la figisu tunalitambua vizuri na haitakua mara ya kwanza Wala yamwisho.
Shida iliyopo kwako mleta Mada kuchunga Ngo'mbe mbaka ukubwani kumekufanya ukose ufahamu wa mambo mengi hasa mpira wa miguu ambao umeuvamia ukiwa mtumzima na huna ulijualo.
Kwa taarifa Yako hakuna jambo jipya litakalo fanywa na Club African ambalo litakua geni Kwa Yanga na kuwatoa mchezoni.
Yaani Yanga tangu 1967 anacheza Mashindano ya Caf Leo ndio aogope figisu za mwarabu, Tanzania hii hakuna timu iliyocheza na waarabu maranyingi zaidi ya Yanga, hakuna figisu ambayo hatujawai kukutana nayo.Sasa mbona Unalia na Kutia Huruma?
Mkatulie sasa sio muanze you you don't you we don't playYanga inatambua kama mpira wa Afrika unafigisu na Yanga iko tayari Kwa figisu zozote hakuna mchezaji wa Yanga anayetokea Ulaya au mgeni wa soka la Afrika.
Tusipofanyiwa figisu atasisi tutashangaa, Kwaiyo ndugu Mbumbumbu ilo Swala la figisu tunalitambua vizuri na haitakua mara ya kwanza Wala yamwisho.
Shida iliyopo kwako mleta Mada kuchunga Ngo'mbe mbaka ukubwani kumekufanya ukose ufahamu wa mambo mengi hasa mpira wa miguu ambao umeuvamia ukiwa mtumzima na huna ulijualo.
Kwa taarifa Yako hakuna jambo jipya litakalo fanywa na Club African ambalo litakua geni Kwa Yanga na kuwatoa mchezoni.
Save your tears until matchday🥲Yanga inatambua kama mpira wa Afrika unafigisu na Yanga iko tayari Kwa figisu zozote hakuna mchezaji wa Yanga anayetokea Ulaya au mgeni wa soka la Afrika.