hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Ukiwa mgeni Tanzania unaweza ukahisi nchi inakaliwa na wagonjwa au watu walioathiriwa sana na utumwa.
Vivi hivyo kwenye kesi nyingi za utekaji , watanzania wanaamini Mungu atawalipa watekaji , wanaamini sana kwenye karma hawajifunzi,? Wazungu waliwatesa babu zetu na kuwauwa lakini kitu gani kibaya kimewatokea wazungu kuliko waafrika hadi leo,
Tangu vifo utekaji vinaendelea hatua kubwa inayochukuliwa ni ku tweet, ku comment na kupotezea.
Asilimia kubwa ya watanzania hata hawajui yanayoendelea , wana ubinafsi , hawaguswi na jambo hadi liwatokee wao.
Inasikitisha sana baada ya kugundua kuwa Hata ikitokea watanzania wote wametekwa na kuuliwa hakuna ataye raise kila mtu atafyata mkia kana kwamba hajui linalotokea.