Kwa ajili ya kinadada

Shonnah

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
200
Reaction score
55
Habari wadau natumaini mmeanza wkend yenu poa...
Inapokuja swala la afya kuna sehemu ambyo tunaisahau mpaka upatwe na tatzo ndyo unaanza kuhangaika je unajua sehemu zako za siri ni sawa na uso wako,kwann kina dada mnasumbuka na uso sana na kusahau k zenu!unavyojal uso wako huna bud kujal afya ya k yako...kina dada wanapata matatzo meng sana kama kansa ya kizazi,faibroids,fungus,UTI,harufu mbaya na mengne mengi haya yote yanasababishwa na stail ya maisha tunayoishi na bacteria ambao huleta matatzo hayo yote unaweza kuyaepuka iwapo utaamua kujipenda mwenyewe na kuvuka madaraja ya kimaisha je ni kinadada wangapi mmefanya abortion(siwalaumu)lakini unajua madhara uliyoyafanya katka kizaz chako kwan umeudhoofisha mji wa mimba na inabd kuchukua hatua kuimarisha kizazi chako
Yapo mengi ambyo tunaweza kuyaongea ila suluhsho la tatzo linahtajika ili kumalza matatzo yote hayo nliyozungumza ipo dawa nzur ya kumalza tatizo lako na liwe historia kwako kama utahtaj tuwasiliane kwenye PM ntakufwata ulipo
 
Kwanini PM kwa jambo kama hilo lililo wazi kabisa? toa elimu watu waelimike.
 
Kwanini PM kwa jambo kama hilo lililo wazi kabisa? toa elimu watu waelimike.

Siwez kuandka kila kitu hapa maelezo hayo ni kwa ufupi ndugu zaidi nafanya consultation kwa atakaye hitaji
 
Siwez kuandka kila kitu hapa maelezo hayo ni kwa ufupi ndugu kwa anayehtaj zaidi tuwasiliane 0718077541

hilo halihitaji pm bwana, we fundisha hapa kila kitu wa kukutafuta atakutafuta tu. nenda google katafute somo hili; ''Blogging for money'' ukimaliza somo hilo utaelewa nini ninachokuambia.
 
Unatufundisha au ni nia ya kupromote bidhaa yako

Me nataka kujua connection ya kutosafisha k na kupata uvimbe kwenye mji wa uzazi

Just for love
 
hilo halihitaji pm bwana, we fundisha hapa kila kitu wa kukutafuta atakutafuta tu. nenda google katafute somo hili; ''Blogging for money'' ukimaliza somo hilo utaelewa nini ninachokuambia.

walio nielewa wameelewa na wamenfwata...thanx kwa ushauri
 
Huku jf mambo yanawekwaga hadharani. Huko pm mambo ya sijui kuunga k kwa vitunguu maji hatutaki. Weka hapa kila mtu ajifunze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…