Kwa Ajili ya Wanaume tu!!!!!!


Na bado, mlitakiwa muwe mnaandaa kabisa na cv zenu pamoja na vyeti vyenu vyote vikiwemo vya kuzaliwa na vya wazazi wenu then mnasubiria acceptance!!
 
kuzaliwa mwanaume ni toleo maalumu
 
hii pasua kichwa. sisemi kitu maana nikisema tu naambia mimi kiazi sina mizizi. Ngoja tuwasubiri akina Lolyz na mzee wa hekima Mr. Rock.
 

Mhhhhhhhhhhh! mi nilidhani ikitumika sana huwa inakuwa oversize, au?
 
Nadhani mtoa mada kama ni mwanaume hajielewi na haelewi saikolojia ya mwanaume.......mwanaume ameumbwa na tamaa,na mwanamke ameumbwa avutie......tatizo ni matumizi ya hizi tamaa ndio yanatofautiana.......kuna wengine wanajua wanataka nini na wengine hawajielewi kwa hiyo huishia kuchovya chovya kila kibuyu........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…